Hahahaa! Kuhusu tizi, hilo ndo kosa kubwa alilofanya... Kwa body la Hasheem, lilitakiwa kupata mikiki mikiki tangia akiwa mdogo ili mwili uzoee!! Sasa kwavile alichelewa kuupa mwili dozi, ni kweli alitakiwa awe extra miles kwa tizi la kufa mtu ukilinganisha na wenzake! Hasheem ana body na ndiyo ilikuwa inampa kiburi akasahau NBA ni zaidi ya body, physique ni muhimu sana kwa sababu players wapo very energetic. Hii training anayoipata sasa wakati keshakuwa mzee alitakiwa kuifanya wakati ule... at least soon baada ya kuvurunda Memphis Grizzlies!