Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Ila jamaa lina sifa..siku Niko bills kaja na group lake anataka kila demu amshobokee

Nikasema cha! Kwa kipi au huo ulingoti?

Ila namuombea arudi NBA maskini, keshajifunza!
mkuu nyie simnapenda wanaume warefu? ungechangamkia ofa bwana.
 
mkuu wewe unapiga basket?
 
halafu hao wanaojiita mastaa wanaishi kwa kujiuza miili yao
 
Ni kweli Chige the way ulivyo analyse but, nahisi kilichomkwamisha zaidi ni pale wenzake akina Le bron wanapiga tizi la kufa mtu , yy anawaza atapata chance muda gani aje bongo kutuchapa bakora!

Hizo safari zake huku zimemcost na atakuwa anajuta now
nimekupenda bure mdada
 
mkuu nyie simnapenda wanaume warefu? ungechangamkia ofa bwana.
Ushawahi muona live?

Si kwa urefu ule asee!...Kidoti ana moyo

Nasikia kitaalamu ana matatizo kuwa na urefu wa hivo nimesahau jina lake kitaalamu

ila kwa wenzetu ulaya unatumia hiyo weakness kama fursa ya kutajirika!
 
Kwa hiyo unataka kusema aje amwombe msamaha TID???
TID nae ana saga nyingi za kike juzi kati aliwatangazia watu alimkaza wema eti? sasa mambo gani hayo kama si kutafuta umaarufu a kiboya?
na sababu ya kupigwa mtama na hasheem ni matusi, hashim alitukanwa kinoma hata mbowe anajua kisa tuu demu wa tid kamsalimia hasheem
 
mbona marekani na sehemu nyingi za ulaya huo ndio urefu wa kawaida? umewahi ona watu kama akina michael jordan, peter crouch, zlatan ibrahimovic, peter cech thibault coutois n.k?
sasa maniga wa marekani ndo balaa yani mijitu imekwea juu kama miti
Ushawahi muona live?

Si kwa urefu ule asee!...Kidoti ana moyo

Nasikia kitaalamu ana matatizo kuwa na urefu wa hivo nimesahau jina lake kitaalamu

ila kwa wenzetu ulaya unatumia hiyo weakness kama fursa ya kutajirika!
 
Sasa kama Wema hivi mi nachekaga eti Tanzania sweetheart, like serious?

Hivi mtu na akili zake eti Wema ni role model wake! Chaaaa
labda kwa wasio na akili mana hawa hawatambui hata uwepo wa malaya
 
Teh...alidhani ule utwiga wake akinyoosha mkono tu ball inaingia kwenye kikapu! Hata bila special training...

Hasheem bana!
Ndo Wabongo tulivyo, mtu akiona ameenda hewani vya kutosha anadhani tayari hiyo inatosha kwenye basketball!
 
mbona marekani na sehemu nyingi za ulaya huo ndio urefu wa kawaida? umewahi ona watu kama akina michael jordan, peter crouch, zlatan ibrahimovic, peter cech thibault coutois n.k?
sasa maniga wa marekani ndo balaa yani mijitu imekwea juu kama miti
Precisely... Tena kama Peter crouch doh!

Ila all in all nilisoma mahali eti ni tatizo! Au ndo mambo ya wazungu kila kitu science inaplay part!
 
Sasa kama Wema hivi mi nachekaga eti Tanzania sweetheart, like serious?

Hivi mtu na akili zake eti Wema ni role model wake! Chaaaa
Tena nasikia mnamuita Madam Wema Sepetu!!!
 
Precisely... Tena kama Peter crouch doh!

Ila all in all nilisoma mahali eti ni tatizo! Au ndo mambo ya wazungu kila kitu scientific inaplay part!
mkuu hiyo ni nature hata west africa kuna midude imeenda juu balaa.
Hata viungo vyao vingine vina kina mfano uke na uume ndo maana nakuambia nature yao inawafanya wawe hivo.

Tz na sehemu nyngine africa ni wafupi tuu wa kawaida ila nchi kama rwanda watutsi wamekwea juu balaa
 
Bongo superstars ni SAMATA labda na ulimwengu thomas..
Hata huyo Hasheem alitakiwa awe best kuliko hata hao!

We mungu kakupa bahati ya kuingia NBA, premium league ambazo kina Beyonce na Jigga wanalipia kuja kufurahisha nafsi zao?

Yaani Hasheem alitakiwa mabest zake wawe kina Kobe Bryant, Le Bron, Jordan

Matokeo yake linarudi bongo katikati ya session kuja kupigana mitama na TID like serious?

Muache kwanza mungu amchape kiboko atajifunza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…