God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
mkuu nyie simnapenda wanaume warefu? ungechangamkia ofa bwana.Ila jamaa lina sifa..siku Niko bills kaja na group lake anataka kila demu amshobokee
Nikasema cha! Kwa kipi au huo ulingoti?
Ila namuombea arudi NBA maskini, keshajifunza!