Ahahaha.... Kuna ukwelii kwenye hili?Akazane atarudi tena. Ameanza kuongea Kiswahili tena maana wakati ule yuko NBA Kiswahili alikisahau kabisa.
mkuu mimi mdau wa ulaya tuu na amrerika ya kusiniNi matumaini yangu kwenye football haupo kule ambako sie wengine, tangu tukiwa shule hadi tunazeeka, ni miaka nenda rudi ya maumivu huku tukisubiri msimu wa kuvurunda uwadie!!
I was not very sure. I admit my ignorance katika hili. But all in all sijawahi kukutana na jamaa live zaidi ya kuona interviews zake kwenye media.kwa ulaya na marekani hiyo siyo gigantisim ni urefu standard tuu wa kawaida. umewahi mtizama undertacker au big show?
Msimu mpya unaanza lini?Ataweza kumkaba fundi wangu steph curry au the beast le bron james na sasa ivi GSW tumeongezewa kelvin durrant
Welcomebacknba
Angeshinda ubunge tungempelekea bill za Dawasco na Tanesco mjengoni!..kwi kwi kwi ...only TanzaniaEti aligombeaga na viti maalum ubunge???
mbona marekani na sehemu nyingi za ulaya huo ndio urefu wa kawaida? umewahi ona watu kama akina michael jordan, peter crouch, zlatan ibrahimovic, peter cech thibault coutois n.k?
sasa maniga wa marekani ndo balaa yani mijitu imekwea juu kama miti
watanzania ni wafupi ndio maana mnamuona ni mtu wa ajabu kumbe sioI was not very sure. I admit my ignorance katika hili. But all in all sijawahi kukutana na jamaa live zaidi ya kuona interviews zake kwenye media.
Frank Matrisciano ni NBA Trainer kwahiyo ka-train wengi tu lakini ame-specialize kwenye physique ambalo ndo tatizo kuwa la Hasheem. We Google tu Hell's Trainer na utapata habari zake! WHY Hell? Wengi wanazikimbia training zake soon baada ya kuanza!!!Mkuu huyo jamaa ametrain wangapi ambao sasa wako NBA? Tusije kusifia tu hapa wakati ni Trainer wa kawaida tu..
ndio najua jordan ana futi sita na kitu ila nakuhakikishia kwa marekani urefu wa hashim ni wa kawaida tuu, umewahi muona undertacker au big show?Mkuu urefu wa Hasheem huwezi kusema eti ni wa kawaida, huko huko NBA Hasheem kuna msimu aliwahi kuwa ndo the tallest, check mpaka sasa hakuna active player anayemzidi Hasheem isipokuwa kuna watatu wana 7.3 kama yeye.
Huyo Michael Jordan ndo haoni ndani kabisa kwa dogo Hasheem.
Narudia kuuliza mkuu, huyo trainer mwenye sifa hivyo kamtrain nani ambaye sasa yupo NBA?Ukiona mtu anadumu kwa Frank Matrisciano basi ni dalili tosha kwamba kwa sasa anapiga tizi la kufa mtu! Tatizo ninaloliona kwake ni umri unamtupa mkono... soon anafunga 30. In 30 unatakiwa uwe tayari ume-stablish career wakati yeye ndo anasaka ku-establish career.
You're 100% RIGHT! Na hadi leo ni among of the tallest guys in American basketball world. Ule ni mnara...Mkuu urefu wa Hasheem huwezi kusema eti ni wa kawaida, huko huko NBA Hasheem kuna msimu aliwahi kuwa ndo the tallest, check mpaka sasa hakuna active player anayemzidi Hasheem isipokuwa kuna watatu wana 7.3 kama yeye.
Huyo Michael Jordan ndo haoni ndani kabisa kwa dogo Hasheem.
Hasheem is 7'3" sio urefu wa kawaida... Most of NBA players wanarange kwenye 6'3" to 6'8".. Wakishafika 6'9" na kuendelea hao ni Bigsmbona marekani na sehemu nyingi za ulaya huo ndio urefu wa kawaida? umewahi ona watu kama akina michael jordan, peter crouch, zlatan ibrahimovic, peter cech thibault coutois n.k?
sasa maniga wa marekani ndo balaa yani mijitu imekwea juu kama miti
There you are mkuuGiantism disorders kama sikosei
ndio najua jordan ana futi sita na kitu ila nakuhakikishia kwa marekani urefu wa hashim ni wa kawaida tuu, umewahi muona undertacker au big show?
Mkuu acha bana.. 7 feet hao ni magiant.. Hasheem kwa US ni Giant as many of them wanasimama kwenye 6'0" to 6'8"kwa ulaya na marekani hiyo siyo gigantisim ni urefu standard tuu wa kawaida. umewahi mtizama undertacker au big show?
Ndo maana nikakurahisishia Keyword ya ku-search habari zake. Anyway, nimeona nisitoe kichwani manake huenda ungedai source vile vile na badala yake, pitia hizi articles:Narudia kuuliza mkuu, huyo trainer mwenye sifa hivyo kamtrain nani ambaye sasa yupo NBA?
Mkuu acha bana.. 7 feet hao ni magiant.. Hasheem kwa US ni Giant as many of them wanasimama kwenye 6'0" to 6'8"
poa mkuu naona wikipedia ilinidaganyaMkuu google is the best friend, kabla hujaweka jina humu jaribu kupitia stats kwanza,
Undertaker ni 6' 10"
Big Show ni 7'
Hasheem ni 7' 3".
Proved mkuu mimi wikipedia ilinidanganyaMkuu acha bana.. 7 feet hao ni magiant.. Hasheem kwa US ni Giant as many of them wanasimama kwenye 6'0" to 6'8"