Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Ni matumaini yangu kwenye football haupo kule ambako sie wengine, tangu tukiwa shule hadi tunazeeka, ni miaka nenda rudi ya maumivu huku tukisubiri msimu wa kuvurunda uwadie!!
mkuu mimi mdau wa ulaya tuu na amrerika ya kusini
 
mbona marekani na sehemu nyingi za ulaya huo ndio urefu wa kawaida? umewahi ona watu kama akina michael jordan, peter crouch, zlatan ibrahimovic, peter cech thibault coutois n.k?
sasa maniga wa marekani ndo balaa yani mijitu imekwea juu kama miti

Mkuu urefu wa Hasheem huwezi kusema eti ni wa kawaida, huko huko NBA Hasheem kuna msimu aliwahi kuwa ndo the tallest, check mpaka sasa hakuna active player anayemzidi Hasheem isipokuwa kuna watatu wana 7.3 kama yeye.

Huyo Michael Jordan ndo haoni ndani kabisa kwa dogo Hasheem.
 
I was not very sure. I admit my ignorance katika hili. But all in all sijawahi kukutana na jamaa live zaidi ya kuona interviews zake kwenye media.
watanzania ni wafupi ndio maana mnamuona ni mtu wa ajabu kumbe sio
 
Mkuu huyo jamaa ametrain wangapi ambao sasa wako NBA? Tusije kusifia tu hapa wakati ni Trainer wa kawaida tu..
Frank Matrisciano ni NBA Trainer kwahiyo ka-train wengi tu lakini ame-specialize kwenye physique ambalo ndo tatizo kuwa la Hasheem. We Google tu Hell's Trainer na utapata habari zake! WHY Hell? Wengi wanazikimbia training zake soon baada ya kuanza!!!
 
Mkuu urefu wa Hasheem huwezi kusema eti ni wa kawaida, huko huko NBA Hasheem kuna msimu aliwahi kuwa ndo the tallest, check mpaka sasa hakuna active player anayemzidi Hasheem isipokuwa kuna watatu wana 7.3 kama yeye.

Huyo Michael Jordan ndo haoni ndani kabisa kwa dogo Hasheem.
ndio najua jordan ana futi sita na kitu ila nakuhakikishia kwa marekani urefu wa hashim ni wa kawaida tuu, umewahi muona undertacker au big show?
 
Ukiona mtu anadumu kwa Frank Matrisciano basi ni dalili tosha kwamba kwa sasa anapiga tizi la kufa mtu! Tatizo ninaloliona kwake ni umri unamtupa mkono... soon anafunga 30. In 30 unatakiwa uwe tayari ume-stablish career wakati yeye ndo anasaka ku-establish career.
Narudia kuuliza mkuu, huyo trainer mwenye sifa hivyo kamtrain nani ambaye sasa yupo NBA?
 
Mkuu urefu wa Hasheem huwezi kusema eti ni wa kawaida, huko huko NBA Hasheem kuna msimu aliwahi kuwa ndo the tallest, check mpaka sasa hakuna active player anayemzidi Hasheem isipokuwa kuna watatu wana 7.3 kama yeye.

Huyo Michael Jordan ndo haoni ndani kabisa kwa dogo Hasheem.
You're 100% RIGHT! Na hadi leo ni among of the tallest guys in American basketball world. Ule ni mnara...
 
mbona marekani na sehemu nyingi za ulaya huo ndio urefu wa kawaida? umewahi ona watu kama akina michael jordan, peter crouch, zlatan ibrahimovic, peter cech thibault coutois n.k?
sasa maniga wa marekani ndo balaa yani mijitu imekwea juu kama miti
Hasheem is 7'3" sio urefu wa kawaida... Most of NBA players wanarange kwenye 6'3" to 6'8".. Wakishafika 6'9" na kuendelea hao ni Bigs
 
ndio najua jordan ana futi sita na kitu ila nakuhakikishia kwa marekani urefu wa hashim ni wa kawaida tuu, umewahi muona undertacker au big show?

Mkuu google is the best friend, kabla hujaweka jina humu jaribu kupitia stats kwanza,

Undertaker ni 6' 10"

Big Show ni 7'

Hasheem ni 7' 3".
 
Narudia kuuliza mkuu, huyo trainer mwenye sifa hivyo kamtrain nani ambaye sasa yupo NBA?
Ndo maana nikakurahisishia Keyword ya ku-search habari zake. Anyway, nimeona nisitoe kichwani manake huenda ungedai source vile vile na badala yake, pitia hizi articles:

The Trainers Behind the NBA’s Most-Improved Players

Frank1.png

Hiyo ni habari ya 2014.

Again piti hii hapa kutoka Fox Sports:

Timberwolves trio went through weeks of hell with Navy SEAL trainer!
Frank2.png

Una maoni gani hivi sasa?
 
Back
Top Bottom