- Thread starter
- #221
Nakubali kamba ni ngumu kurudi lakini sio kwamba haiwezekani! If you regain what it takes, unapata kabisa timu! Hata akina Frank Matrisciano sio wajinga.... wanajua ni ngumu kweli kupata second chance; but possible! Na mfano wa karibuni kabisa tena toka kwa very popular ni Hassan Whiteside! Kama sikosei; Hassan alitoka NBA to D-League mwaka 2012 au 2013! Kapiga D-League msimu mzima; akaona isiwe taabu baada ya D-League akaenda kukipiga Lebanon! Katoka Lebanoni kaenda China na baada ya China akarudi tena Lebanoni kisha akarudi tena D-League kabla hajachukuliwa na Miami Heat mwakajuzi tena kwa mpunga wa kufa mtu!kucheza nba kwa hasheem ni bahati kubwa sana na second chance akiipata ni zaidi ya bahati..
kuna mtu anaitwa carlos morais.. ni muangola.. ka unafatilia basketball lazima umjue.. ni mchezaji bora sana kwa kutokea africa.. mvp awards kibao na nba alicheza kidogo toronto raptors...
alieleza ukweli why ukifeli kurudi nba ni haiwezekani..
mgoogle carlos morais uone cv yake na aliyopitia katika safari yake ya basketball as a best player from angolla ever.. mvp wa kila shindano africa.. nae alipata high school scholarship usa kama hasheem
Kwahiyo; YES it's true ni ngumu kurudi lakini sio kwamba haiwezekani