Hasheem Thabeet kurudi NBA?

Hasheem Thabeet kurudi NBA?

kucheza nba kwa hasheem ni bahati kubwa sana na second chance akiipata ni zaidi ya bahati..

kuna mtu anaitwa carlos morais.. ni muangola.. ka unafatilia basketball lazima umjue.. ni mchezaji bora sana kwa kutokea africa.. mvp awards kibao na nba alicheza kidogo toronto raptors...

alieleza ukweli why ukifeli kurudi nba ni haiwezekani..

mgoogle carlos morais uone cv yake na aliyopitia katika safari yake ya basketball as a best player from angolla ever.. mvp wa kila shindano africa.. nae alipata high school scholarship usa kama hasheem
Nakubali kamba ni ngumu kurudi lakini sio kwamba haiwezekani! If you regain what it takes, unapata kabisa timu! Hata akina Frank Matrisciano sio wajinga.... wanajua ni ngumu kweli kupata second chance; but possible! Na mfano wa karibuni kabisa tena toka kwa very popular ni Hassan Whiteside! Kama sikosei; Hassan alitoka NBA to D-League mwaka 2012 au 2013! Kapiga D-League msimu mzima; akaona isiwe taabu baada ya D-League akaenda kukipiga Lebanon! Katoka Lebanoni kaenda China na baada ya China akarudi tena Lebanoni kisha akarudi tena D-League kabla hajachukuliwa na Miami Heat mwakajuzi tena kwa mpunga wa kufa mtu!

Kwahiyo; YES it's true ni ngumu kurudi lakini sio kwamba haiwezekani
 
Haa haa...Zari kiboko ya mademu wa kibongo wasiojielewa!

Mange chizi kamchokonoaga zari akambulia patupu yaani ni no time with shit! Mange akaamua mwenyewe kupiga kimya!

Hicho kisauti cha Wema kinatumika special places, esp. akiwa anahojiwa! Sio kwamba anaongeaga hivo mda wote ( kisauti cha mitego), ulishawahi mkuta yuko tungi? Ana libase Hasheem cha mtoto![emoji125] [emoji125]
Mnh! Sasa kama ile sauti ni ya kimitego basi thanks God; mie siwezi kunasa kabisa! Vitu ambavyo Wema ananiboa ni viwili... Kiinglish chake ambacho anaweza kuwaongolesha hata watembeza matembele wa huku Uswahilin kwetu na baada ya Kizungu chake asichoangalia mazingira; kingine ambacho kinaniboa ni sauti yake!
 
Heee...mkuu vyote viwili wakati ndo vinamuweka mjini????

Basi unapenda nini kwa Wema?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakubali kamba ni ngumu kurudi lakini sio kwamba haiwezekani! If you regain what it takes, unapata kabisa timu! Hata akina Frank Matrisciano sio wajinga.... wanajua ni ngumu kweli kupata second chance; but possible! Na mfano wa karibuni kabisa tena toka kwa very popular ni Hassan Whiteside! Kama sikosei; Hassan alitoka NBA to D-League mwaka 2012 au 2013! Kapiga D-League msimu mzima; akaona isiwe taabu baada ya D-League akaenda kukipiga Lebanon! Katoka Lebanoni kaenda China na baada ya China akarudi tena Lebanoni kisha akarudi tena D-League kabla hajachukuliwa na Miami Heat mwakajuzi tena kwa mpunga wa kufa mtu!

Kwahiyo; YES it's true ni ngumu kurudi lakini sio kwamba haiwezekani
Mkuu determination aliyoifanya Hassan Whiteside huwezi kuifananisha na ya Hasheem ambaye now anapiga tizi ili arudi tu NBA!

Nimetoka kumsoma Hassan now hakufanya kazi ndogo hadi kuchukuliwa na Miami Heart ,we si unaona kaenda hadi Lebanon kukipiga ili tu awe exposed!

Kichwa ngumu wetu anakwambia hayo mapambano yote anayofanya anataka only kurudi NBA! WTF, at the same time from experience watu wanakwambia ukishachomolewa NBA kurudi ni ngumu, coz kuna vitoto around the world (mainly US, Asia & Europe) vinachipuka na viko well- trained vina ndoto za kupata golden chance ya kuingia NBA! Now you see? Huyo Hasheem umri umeenda, ana record mbaya pale nba ya uvivu, kutega mazoezi ongezea na ubaguzi wa wazungu kwa watu weusi sasa, Hasheem mle kurudi itakuwa ngumu. Period
 
This guy will NEVER recover from being a BUST. Yaani alijihaibisha kinoma mpaka kwa sasa hajielewi na anajuta kwa nini alimjuwa Jokate na kumpiga TID.

Hasheem hawezi kujuta kwa kumtandika TID kwani zile ndio zake tangu enzo hizo hajakuwa Super star. Ile ni tabia yake ukimletea mazereu hakuachi uende. Enzi za Makongo makonda wa daladala walikuwa wanakula makofi kilasiku.
 
Tunamuombe kila la kheri kijana wetu.

Alipofika kwa Mtanzania si pabaya na hakuna Mtanzania wa kabla yake aliyewahi kufika hapo. Kwa kiwango cha NBA kwa basketball hakuna hata Mtanzania aliyewahi kufanya hivyo kwenye football.

Anastahili pongezi nyingi sana na kwa kuwa bado ni kijana mdogo tumuombee arudi kwenye viwango vinavyohitajika NBA. Inawezekana.
Hili ndio la maana.
 
Teh teh umwambie kabisa awe anaongea vizuri kiswahili...ama la kama kakisahau kiswahili aongee kiingereza tujue moja

Eti" maumbour "ndo kasalimia mambo, jamani Hasheem ana mbwembwe hatwari..
Kuna siku alikuwa anaongea ktk Tv, wife akaniuliza jamaa ana matatizo gani? Nikamjibu Hasheem kakaa sana USA, so kasahau Kiswahili. Yf akaniomba nibadili channel.
 
He he hee ..na kipindi hicho hata hakuwa amekaa sana kule ilikuwa kama mwaka 1 au 2 ye kuwa kule!

Cha kusikitisha sasa kuna ndugu yetu yuko Houston anakwambia Hasheem huko US yuko kama bubu, coz first time alijifanya ana pronounce swaga za kiniga, mablack wakawa wanamcheka na wanamwambia direct kuwa we umetoka interior Africa!

Toka kashtukiwa anaongea kimachale sana kule ila akija huku anakwambia MAUMBOUR???????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hasheem hawezi kujuta kwa kumtandika TID kwani zile ndio zake tangu enzo hizo hajakuwa Super star. Ile ni tabia yake ukimletea mazereu hakuachi uende. Enzi za Makongo makonda wa daladala walikuwa wanakula makofi kilasiku.

Ndiyo maana yuko useless au? Yaani kale kajamaa hakana kitu na he will go down in history as one of the most useless dude to ever enter NBA draft na kuwa a BUST.
 
Heee...mkuu vyote viwili wakati ndo vinamuweka mjini????

Basi unapenda nini kwa Wema?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Of course, vyote!!! Napenda nini? Kama unamaanisha napenda nini kimahaba; jibu NOTHING... lakini kama unamaanisha napenda nini kwa ujumla wake; jibu ni kwamba she knows how to live like a crazy celebrity! Unajua watu huwa tunawaona celebrities kama some bullshit kwa sababu tunawatarajia waishi kama sisi ambao ni bankers, lawyers, accountants, teachers, nurses, doctors, jobless, etc! No way, na katu hilo haliwezi kutokea kv tunaishi kwenye two different world! Ukishakua celebrity, you either keep your profile completely LOW or scatter it everywhere over the space! Unfortunately, ni celebrities wachache sana duniani wanaoweza ku-maintain low profile. Kinyume chake, critics utawasikia "jamaa anapenda sana kiki, au anapenda sana show-off....!" YES, ndo celebrity huyo...! So, I love Wema kwavile anafahamu namna ya kuishi as crazy celebrity!
 
Ndiyo maana yuko useless au? Yaani kale kajamaa hakana kitu na he will go down in history as one of the most useless dude to ever enter NBA draft na kuwa a BUST.
Chaaaaa!...atleast kapata visenti vyake na kama mjanja kadivert risks kwa kuinvest multiple projects...
 
Mkuu determination aliyoifanya Hassan Whiteside huwezi kuifananisha na ya Hasheem ambaye now anapiga tizi ili arudi tu NBA!

Nimetoka kumsoma Hassan now hakufanya kazi ndogo hadi kuchukuliwa na Miami Heart ,we si unaona kaenda hadi Lebanon kukipiga ili tu awe exposed!

Kichwa ngumu wetu anakwambia hayo mapambano yote anayofanya anataka only kurudi NBA! WTF, at the same time from experience watu wanakwambia ukishachomolewa NBA kurudi ni ngumu, coz kuna vitoto around the world (mainly US, Asia & Europe) vinachipuka na viko well- trained vina ndoto za kupata golden chance ya kuingia NBA! Now you see? Huyo Hasheem umri umeenda, ana record mbaya pale nba ya uvivu, kutega mazoezi ongezea na ubaguzi wa wazungu kwa watu weusi sasa, Hasheem mle kurudi itakuwa ngumu. Period
You see... umeweka kitu determination! Unajua hapa ni POSSIBLE VS IMPOSSIBLE!

With possible ni kwamba, ukiweka hiyo determination uliyoisema basi inawezekana kabisa kupata second chance. Tena usisahau, with NBA kuna hata zile few days/games contracts. Kama umeonesha uwezo, unapata hizi contracts na hatimae kuwa na fursa kubwa zaidi ya ku-showcase uwezo wako. Lakini with IMPOSSIBLE, hata kama utajifua namna gani, na uwezo wako kuwa mkubwa, still huwezi kupata second chance!

Sasa kama tulivyosema... inawezekana lakini inahitaji determination ya hali ya juu! Bado naamini, ikiwa determination aliyowekeza miezi 18 iliyopita ataendelea nayo, basi usishangae ukakuta anapata second chance.
 
Hapo sasa tupo pamoja kama kuna possibility ya kuingia tena azidi kujifua tu mungu anamuona

Na kama ikishindikana kurudi NBA aache kung'ang'ania, manake zile interview zake ndizo nazoziogopa Mkuu! Jamaa inaonesha kama NBA hawamchukui haendi timu nyingine yoyote, hilo tu ndio shida!
 
Back
Top Bottom