Mkuu ilikuwa ni NBA draft ya 2009. Hashim alikuwa second pick nyuma ya Blake Griffin wa LA Clippers. Halafu amini usiamini, Steph Curry alikuwa drafted 7th!Kila la heri kwake japo alituangusha sana wenzie waliokuwa naye kwenye NBA draft 2011 kama sikosei ndio hawa kina Steph Curry
Nini kilimtokea Mkandawire? Mkandawire huyu ni yule bingwa wa A-level Chemistry?Hasheem hawezi kurudi,alishachezea fursa,hauwezi kuja mara mbili,alichofanya hana tofauti na mwalimu Mkandawire.
Huyo huyo,alijenga shule yake ikawa kubwa na maarufu,akakopa Crdb,akaanza starehe,akashindwa kulipa mishahara na den la benk,benk ilikuja kuuza shule maana ndo ilikuwa dhamana.Mkanda akakimbia jiji had Mwanza akawa anafndsha lake,cku hiz cmckii kabisa.Nini kilimtokea Mkandawire? Mkandawire huyu ni yule bingwa wa A-level Chemistry?