Hasheem Thabeet mbioni kurejea NBA

Hasheem Thabeet mbioni kurejea NBA

Mchizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
2,886
Reaction score
7,000
Jamaa watu walivyomchoka hata huu uzi umekosa Mashiko... arejee sasa na sio maneno maneno tu Bongo huku Hata kiwanda kimoja bado zaidi ya watu kupoteza ajira na matumaini...
 
Kila la heri kwake japo alituangusha sana wenzie waliokuwa naye kwenye NBA draft 2011 kama sikosei ndio hawa kina Steph Curry
Mkuu ilikuwa ni NBA draft ya 2009. Hashim alikuwa second pick nyuma ya Blake Griffin wa LA Clippers. Halafu amini usiamini, Steph Curry alikuwa drafted 7th!
 
Huyu jamaa akipata kaumaarufu kidogo tu anarudi kubokoa wadada huku wakati wenzie wanaendelea na mazoezi.....ngoja tuone safari hii labda atakua amejifunza kitu
 
Hasheem hawezi kurudi,alishachezea fursa,hauwezi kuja mara mbili,alichofanya hana tofauti na mwalimu Mkandawire.
 
Hasheem hawezi kurudi,alishachezea fursa,hauwezi kuja mara mbili,alichofanya hana tofauti na mwalimu Mkandawire.
Nini kilimtokea Mkandawire? Mkandawire huyu ni yule bingwa wa A-level Chemistry?
 
Nini kilimtokea Mkandawire? Mkandawire huyu ni yule bingwa wa A-level Chemistry?
Huyo huyo,alijenga shule yake ikawa kubwa na maarufu,akakopa Crdb,akaanza starehe,akashindwa kulipa mishahara na den la benk,benk ilikuja kuuza shule maana ndo ilikuwa dhamana.Mkanda akakimbia jiji had Mwanza akawa anafndsha lake,cku hiz cmckii kabisa.
 
Back
Top Bottom