Mchizi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 2,886
- 7,000
Hasheem Thabeet huenda akaanza kuoneka tena kwenye ligi ya NBA baada ya timu kadhaa kuonyesha nia ya kumrejesha tena uwanjani.Hasheem ambaye alikuwa nje ya ligi ya NBA kwa misimu miwili ,aliaamua kuingia gym kwa muda huo wote ili kurejesha kiwango chake pamoja na kujiamini awapo uwanjani.Timu za Lakers,Knicks,Wizards ndizo hasa zilizoonyesha nia hiyo.
source
The Lakers reportedly worked out Hasheem Thabeet
Knicks, Wizards and Lakers recently worked out Hasheem Thabeet
source
The Lakers reportedly worked out Hasheem Thabeet
Knicks, Wizards and Lakers recently worked out Hasheem Thabeet