William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
tehe tehe tehe bado vipo jero tu unapunguza uzito....Sema ukweli wako bwashee, nasikia vile vibanda vyao "orijino" pale kwa nyuma pale vilibomolewa, ya kweli hayo? Hahahahaha.....
kule hakufai mkuu...ukiongeza buku unaruhusiwa kutokuva njumu... si khatari hiyo....zipo pande za msasani kwa warioba za kistaarabu misimbazi mi5 first half...hahahaha lakini beshtee itabidi uache kutembelea pande ile, kuna misiafu siku hizi, itakutambaa tukupoteze....LOL!
hahahaha chamaa, we kweli nuksi!! lakini hakuna cha za "kistaarabu" wala nini, "utelezi" wa kununua usawa huu ni choo ile mbaya!!
Unacheza makidamakida kwenye nyaya za umeme zilizo "live" wewe! mie sirushi mguu Detroit ng'o, labda kama wangekuwa wanatoa cheerleaders kwa "domestic use"/matumizi ya nyumbani kabla na baada ya mechi......LOL
Mwenzio nacheka mpaka mbavu zinauma, juu ya mada ya June Warioba.....wabongo bwana, kaziiiiiiii kweli!
Go Huskies! Tuna msubiri Jim Calhoun pale Braintree, MA...kwa home coming ya karne....LOL.
Dakika chache zijazo au 1.07am EAT kijana wetu Hasheem Thabeet atajaribu tena kuweka history nyingine ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza kwenye Final ya NCAA Basketball. Nawaombeni mumkumbuke kwenye sala zenu. Mimi amenifurahisha pia mpaka sasa hivi amebejave vizuri sana na hatujasikia lolote kuhusu utovu wa nidhamu. Kila la heri Hasheem na Connecticut.
Ni halftime sasa Connecticut wako nyuma 36-38 Hasheem kacheza vizuri na mama yake ameonyeshwa yuko Uwanjani inaelekea alifunga safari kuja kumshangilia mwanae. Magic Johnson naye yupo uwanjani kuwapa moral support vijana wa Michigan State University chuo ambacho alichosomea Magic. Kwa maoni yangu pamoja na Michigan State kuchezea kwao na pia kuwepo Magic Johnson bado Connecticut wana nafasi nzuri ya kushinda mechi hii.
Hukumbuki jinsi Kuhani alivyotaka ku assassinate character yake?
- How can somebody do that, huyu ni balozi wetu wabongo tena Mungu ambarikie sana azidi, maana the guy can play na kwenye NBA draft atashika nafasi ya juu sana kati ya 3 za kwanza, sio siri hiyo, katika maisyha kila mtu na bahati yake sasa tusilalie za wengine mlango wazi, mimi nazimia sana na jamaa, na kukaa naye sawa unaweza ku-make money anyways in the future ndio maana nimetunza sana poster zake kibao ambazo amesaini, go Thabeet go! akifanikiwa zaidi wote tumeula, asiyetaka shauri yake, ila usituharibie na wengine.
- So far mcheo wa leo bado haujkaa sawa ingawa sasa ni 48-48, lakini damn ngoja tumalizie kwanza. Wo wo 42-38 go thbeet go! go! go!
Respect.
FMES.
- Wakuu noma hii, wallahi we are done, and I am out mpaka kesho labda maana this is noma. Hivi hawawezi wakaaa-appeal kwamba kwa nini Magic Johnson kaja kuwapa support jamaa, maana this is unfair.
Tumenyukwa.......Lol! and out mpaka niki-recover hii noma.
FMES