- How can somebody do that, huyu ni balozi wetu wabongo tena Mungu ambarikie sana azidi, maana the guy can play na kwenye NBA draft atashika nafasi ya juu sana kati ya 3 za kwanza, sio siri hiyo, katika maisyha kila mtu na bahati yake sasa tusilalie za wengine mlango wazi, mimi nazimia sana na jamaa, na kukaa naye sawa unaweza ku-make money anyways in the future ndio maana nimetunza sana poster zake kibao ambazo amesaini, go Thabeet go! akifanikiwa zaidi wote tumeula, asiyetaka shauri yake, ila usituharibie na wengine.
- So far mcheo wa leo bado haujkaa sawa ingawa sasa ni 48-48, lakini damn ngoja tumalizie kwanza. Wo wo 42-38 go thbeet go! go! go!
Respect.
FMES.