Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

- Bwana mdogo kesho ana nafasi nzuri sana ya kushinda, ila wale wanoko wa NC hasa yule mzungu Mazee Hansborou duh! yule noma sana nawaona NC wakiwa mabingwa, lakini kesho Dogo njia nyeupe kwa sababu Michigan offense ni watupu!

FMES!
 
hahahaha lakini beshtee itabidi uache kutembelea pande ile, kuna misiafu siku hizi, itakutambaa tukupoteze....LOL!
kule hakufai mkuu...ukiongeza buku unaruhusiwa kutokuva njumu... si khatari hiyo....zipo pande za msasani kwa warioba za kistaarabu misimbazi mi5 first half...
 
Haya jamani mambo mpwito mpwito pumu imepata wakohozi 🙂
 
Unacheza makidamakida kwenye nyaya za umeme zilizo "live" wewe! mie sirushi mguu Detroit ng'o, labda kama wangekuwa wanatoa cheerleaders kwa "domestic use"/matumizi ya nyumbani kabla na baada ya mechi......LOL

Heheheheheheeeeee.....
 
Mwenzio nacheka mpaka mbavu zinauma, juu ya mada ya June Warioba.....wabongo bwana, kaziiiiiiii kweli!

Go Huskies! Tuna msubiri Jim Calhoun pale Braintree, MA...kwa home coming ya karne....LOL.

Ndio nani huyo June Warioba? Some VIP or what?
 
hasheem anacheza saa ngapi za EA?
Mwanakijiji nategemea kukuona ukiwa na bendera ya 6/6 ukipiga mbija uwanjani.....
 
Dakika chache zijazo au 1.07am EAT kijana wetu Hasheem Thabeet atajaribu tena kuweka history nyingine ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza kwenye Final ya NCAA Basketball. Nawaombeni mumkumbuke kwenye sala zenu. Mimi amenifurahisha pia mpaka sasa hivi amebejave vizuri sana na hatujasikia lolote kuhusu utovu wa nidhamu. Kila la heri Hasheem na Connecticut.
 
Hukumbuki jinsi Kuhani alivyotaka ku assassinate character yake?
 
Ni halftime sasa Connecticut wako nyuma 36-38 Hasheem kacheza vizuri na mama yake ameonyeshwa yuko Uwanjani inaelekea alifunga safari kuja kumshangilia mwanae. Magic Johnson naye yupo uwanjani kuwapa moral support vijana wa Michigan State University chuo ambacho alichosomea Magic. Kwa maoni yangu pamoja na Michigan State kuchezea kwao na pia kuwepo Magic Johnson bado Connecticut wana nafasi nzuri ya kushinda mechi hii.
 
Bubu...I believe UConn watashinda hii game kwa sababu Hasheem hakuwa kwenye foul trouble kipindi cha kwanza na vile vile leo anacheza vizuri. 1o pts so far, thats a great start. Wanahitaji minor adjustments, kama vile kuto turn over mpira na kuwapa Spartans ambao wanapenda kukimbia easy transition.
 
Hukumbuki jinsi Kuhani alivyotaka ku assassinate character yake?

- How can somebody do that, huyu ni balozi wetu wabongo tena Mungu ambarikie sana azidi, maana the guy can play na kwenye NBA draft atashika nafasi ya juu sana kati ya 3 za kwanza, sio siri hiyo, katika maisyha kila mtu na bahati yake sasa tusilalie za wengine mlango wazi, mimi nazimia sana na jamaa, na kukaa naye sawa unaweza ku-make money anyways in the future ndio maana nimetunza sana poster zake kibao ambazo amesaini, go Thabeet go! akifanikiwa zaidi wote tumeula, asiyetaka shauri yake, ila usituharibie na wengine.

- So far mcheo wa leo bado haujkaa sawa ingawa sasa ni 48-48, lakini damn ngoja tumalizie kwanza. Wo wo 42-38 go thbeet go! go! go!

Respect.

FMES.
 
Gademu!! Michigan kiboko aisee!! Wamenikumbusha enzi za Mateen Cleaves....ingawa gemu bado dakika sita lakini nadhani it's a wrap! Final itakuwa Spartans na Carolina
 
- Wakuu noma hii, wallahi we are done, and I am out mpaka kesho labda maana this is noma. Hivi hawawezi wakaaa-appeal kwamba kwa nini Magic Johnson kaja kuwapa support jamaa, maana this is unfair.

Tumenyukwa.......Lol! and out mpaka niki-recover hii noma.

FMES
 
- How can somebody do that, huyu ni balozi wetu wabongo tena Mungu ambarikie sana azidi, maana the guy can play na kwenye NBA draft atashika nafasi ya juu sana kati ya 3 za kwanza, sio siri hiyo, katika maisyha kila mtu na bahati yake sasa tusilalie za wengine mlango wazi, mimi nazimia sana na jamaa, na kukaa naye sawa unaweza ku-make money anyways in the future ndio maana nimetunza sana poster zake kibao ambazo amesaini, go Thabeet go! akifanikiwa zaidi wote tumeula, asiyetaka shauri yake, ila usituharibie na wengine.

- So far mcheo wa leo bado haujkaa sawa ingawa sasa ni 48-48, lakini damn ngoja tumalizie kwanza. Wo wo 42-38 go thbeet go! go! go!

Respect.

FMES.

Hapa tuko pamoja Mkuu, sielewi kwanini mtu anataka kumbambikia huyu Kijana sifa mbaya ambazo kwa kweli mpaka sasa hivi hajafanya chochote cha kuonyesha utovu wa nidhamu. Mpaka sasa hivi katuwakilisha Watanzania vizuri sana na naamini akiamua kuingia kwenye NBA Draft basi ataendelea kuiwakilisha vizuri nchi yetu, lakini kwa leo inaelekea ndoto yetu ya kumuona akicheza kwenye fainali hapo April 6 imefikia ukingoni.
 
- Wakuu noma hii, wallahi we are done, and I am out mpaka kesho labda maana this is noma. Hivi hawawezi wakaaa-appeal kwamba kwa nini Magic Johnson kaja kuwapa support jamaa, maana this is unfair.

Tumenyukwa.......Lol! and out mpaka niki-recover hii noma.

FMES

Nimeshararua 12 pack yangu ya Heineken kupoteza mawazo...hivi kwa nini huyu cameraman anamwonyesha Magic kila mara...aaaah....anaudhi
 
Back
Top Bottom