babu acha majungu ya kikoloni wewewewewew......... akinyoa kibwengo au pank ni juu yake that's his swagger wewe!jiangalie mara mbili kwani wakati anatoa jasho kujitafutia umaarufu wake na wa taifa lake mbona hatukusikia unatoa ushauri kaka??stay quite the kid is doing his things out there!
leo kwa hayo tu ila hashim ni zaidi ya hao unawaojua ni bora kwako kwa sababu mkwanjwa wake si wa kutokana na urithi wa mafisadi ni jasho lake...........
someone in somewhere but not bongo!
Sawa, wewe ni fan na mimi siwezi kubishana na wewe katika aspect ya upenzi kwa sababu unaongea kama fan na mimi naongea kama a rational detached Tanzanian.
Ila utakuwa mtovu wa akili kama utakataa kwamba Marekani brand ina matter (sasa hivi Hasheem brand yake ni the kid who came from poverty stricken Tanzania, having played b-ball for only a few tyears making it to the NBA) ndivyo anavyouzwa hivyo, juzi nimeenda kununua begi Mmarekani ananiuliza unatoka wapi nikamwambia Tanzania, tukaongea soccer na michezo, nikamtajia Hasheem akanipa story hiyo hiyo.Sasa kama wewe unataka kubisha umuhimu wa brand -kitu kinachomfanya Mike Tyson mpaka leo anaigiza kwenye sinema, na Ali analipwa mamilioni wakati Arturo Gatti kauawa juzi kwenye hoteli Brazil na hamna gazeti lilioandika extensively- kama unajifanya huelewi brand unweza kumlostisha huyu Hasheem.Tatizo letu hatuwezi ku handle constructive criticism, mtu akija na constructive criticism mnaona kama ana chuki.Ukweli ni kwamba huyu dogo ni muwakilishi wa taifa kiaina, ingawa hata wewe unayemsifia na kunikandya mimi kwamba sina haki ya kumkashifu kwa sababu sikuwa naye hujui kama nilikuwa naye au la.
The kid talk too much, does not know what to talk, has no handlers and I am more concerned about him off field than on field.Mimi nilifikiri Connecticut pangemuandaa kwa NBA, Lakini naona bado hajajua let alone NBA, bali Marekani nzima.
Wewe unabisha kabla hata ya kujua Hasheem amesema nini, katika ma bombshell aliyoyatoa moja wapo kasema hawezi kucheza NBA basically, sijui alichotaka kusema ni nini, lakini kasema hawezi kucheza NBA, sasa hiyo ni kauli ya athlete kusema katika ulimwengu huu wa cutthroat American competition?
Kijana anahitaji handlers, na hata hiyo psychology yake aliyosoma shule wamemfundisha nini, au alikuwa court labda Calhourn alimbeba academically, maana hii ni common practice colleges za USA.