Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

Ipi sahihi?

A.
Tanzanian rookie Thabeet now a Grizzlie in the NBA.

B.
Tanzanian Thabeet now a rookie in the NBA's Grizzlie

C.
Tanzanian rookie Thabeet now an NBA Grizzlie .

D.

Tanzanian Grizzlie Thabeet now a rookie in the NBA.

E

There is no adequate information to form a conclusive opinion
 
...B comes the closest.
 
Tanzania kama kawa. a single eyed in a kingdom of brinds. tutasikia mengi sana kwa wanazi, lakini tusisahau kuwa watanzania longolongo nyingi, na mnakuwa moved na media. wanachosema kwenu ndo ukweli wote. Hakuna nguvu ishindayo muda, tupunguze kuongea japo watanzania wengi walionje shule ndogo.
tumuombee dogo, lakini sio kwa kelele nyingi hivyo. he still have a long way to go.
 
Single eyed in a kingdom of brinds? Hapa kuna voices of reason kuliko unavyotaka kutushawishi, I bet you haven't even heard anything about the Kuhani / YournameisMine brouhaha?

Kusema watanzania longolongo ni sheer generalization kama siyo disrespectful hubris, the utter audacity of lumping together a nation of millions like some Korean manufactured wristwatches, wewe ni Mtanzania?

Nani asiyekuwa moved na media? Tatizo ni kuwa moved na media au content accuracy? Kama ungeelewa hiyo multiple choice ni satire on the media, na ni The East African wala si kigazeti cha ajabu, na aliyeileta hapa ni yours truly Mtanzania, na ilikuwa more about media satire kuliko Hasheem, penye ukweli uongo hujitenga.

Wewe nani kusema watu waipost hii issue ya Hasheem vipi.Sote tunajua he has a long way to go (ndiyo maana kuna neno rookie hapo, siyo star, unajua maana ya rookie?)

Ukisema watanzania wengi walio nje shule ndogo bila kuweka solid sources au statistics, au kama huna statistics angalau hata anecdotes, wewe ndiye unajionyesha una shule ndogo

When you come come correct, or the full wringing wrath of this wagging warlike wand of wankibatan.
 
A ray of light in the darkness ilizizima nchi yetu

Najua hapa si mahala pake lakini I feel we need positive citizens kama huyu

In the wake of mafisadi left and right this is the news we need..its old lakini still refreshing

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=zveIW1PGMnE]YouTube - Hasheem Thabeet 2009 NBA Draft (Plus Interview and Analysis)[/ame]

kilichobaki asubutu kupeleka gari bongo kama hawajamwibia redio na kumtoa pesa kem kep pale Bandarini: USHARI WA BURE KWA HASHIM....USITUMIE ANDARI YA DAR ES SALAAM...TUMIA BANDARI YA MOMBASA
 
Mwambieni kijana asiwe anabwabwaja kinachomjia kichwani tu, inaonekana bado anahitaji handlers.Juzi kasema maneno -sijui katika jitihada za kuwa humble au basi tu hajui Marekani it is all about building a brand name- ambayo yanaweza kumharibia.

Halafu hichi ki "mohawk" alichochonga kinamfanya aonekane kituko zaidi ya an up and coming starlet.
 
babu acha majungu ya kikoloni wewewewewew......... akinyoa kibwengo au pank ni juu yake that's his swagger wewe!jiangalie mara mbili kwani wakati anatoa jasho kujitafutia umaarufu wake na wa taifa lake mbona hatukusikia unatoa ushauri kaka??stay quite the kid is doing his things out there!
leo kwa hayo tu ila hashim ni zaidi ya hao unawaojua ni bora kwako kwa sababu mkwanjwa wake si wa kutokana na urithi wa mafisadi ni jasho lake...........
someone in somewhere but not bongo!

hashim uko juuuuuuuuuuuu kama jua na mbalamwezi kama vip, go to hang yourselves all haters out there!
 
babu acha majungu ya kikoloni wewewewewew......... akinyoa kibwengo au pank ni juu yake that's his swagger wewe!jiangalie mara mbili kwani wakati anatoa jasho kujitafutia umaarufu wake na wa taifa lake mbona hatukusikia unatoa ushauri kaka??stay quite the kid is doing his things out there!
leo kwa hayo tu ila hashim ni zaidi ya hao unawaojua ni bora kwako kwa sababu mkwanjwa wake si wa kutokana na urithi wa mafisadi ni jasho lake...........
someone in somewhere but not bongo!

Sawa, wewe ni fan na mimi siwezi kubishana na wewe katika aspect ya upenzi kwa sababu unaongea kama fan na mimi naongea kama a rational detached Tanzanian.

Ila utakuwa mtovu wa akili kama utakataa kwamba Marekani brand ina matter (sasa hivi Hasheem brand yake ni the kid who came from poverty stricken Tanzania, having played b-ball for only a few tyears making it to the NBA) ndivyo anavyouzwa hivyo, juzi nimeenda kununua begi Mmarekani ananiuliza unatoka wapi nikamwambia Tanzania, tukaongea soccer na michezo, nikamtajia Hasheem akanipa story hiyo hiyo.Sasa kama wewe unataka kubisha umuhimu wa brand -kitu kinachomfanya Mike Tyson mpaka leo anaigiza kwenye sinema, na Ali analipwa mamilioni wakati Arturo Gatti kauawa juzi kwenye hoteli Brazil na hamna gazeti lilioandika extensively- kama unajifanya huelewi brand unweza kumlostisha huyu Hasheem.Tatizo letu hatuwezi ku handle constructive criticism, mtu akija na constructive criticism mnaona kama ana chuki.Ukweli ni kwamba huyu dogo ni muwakilishi wa taifa kiaina, ingawa hata wewe unayemsifia na kunikandya mimi kwamba sina haki ya kumkashifu kwa sababu sikuwa naye hujui kama nilikuwa naye au la.

The kid talk too much, does not know what to talk, has no handlers and I am more concerned about him off field than on field.Mimi nilifikiri Connecticut pangemuandaa kwa NBA, Lakini naona bado hajajua let alone NBA, bali Marekani nzima.

Wewe unabisha kabla hata ya kujua Hasheem amesema nini, katika ma bombshell aliyoyatoa moja wapo kasema hawezi kucheza NBA basically, sijui alichotaka kusema ni nini, lakini kasema hawezi kucheza NBA, sasa hiyo ni kauli ya athlete kusema katika ulimwengu huu wa cutthroat American competition?

Kijana anahitaji handlers, na hata hiyo psychology yake aliyosoma shule wamemfundisha nini, au alikuwa court labda Calhourn alimbeba academically, maana hii ni common practice colleges za USA.
 
Mwambieni kijana asiwe anabwabwaja kinachomjia kichwani tu, inaonekana bado anahitaji handlers.Juzi kasema maneno -sijui katika jitihada za kuwa humble au basi tu hajui Marekani it is all about building a brand name- ambayo yanaweza kumharibia.

Halafu hichi ki "mohawk" alichochonga kinamfanya aonekane kituko zaidi ya an up and coming starlet.

"Mwambieni kijana," kina nani wamwambie?

Ukiwa na cha kusema kuhusu Pinda mbona husemi "mwambieni Pinda aache kuvaa Kaunda Suit zinazoonyesha wife beater ya ndani." Unataka kumkuza Hashimu bure kana kwamba he is too big for JF. Trust me, no matter how high a pedestal the Americans put him on, hawezi kujisikia appreciated iwapo wabongo wenzie wanamuona si kitu, Hashimu anajali kinachosemwa hapa.

Ulichonacho kiseme, sio kutuambia tukamwambie, kwani sisi nani, wabeba ujumbe na taulo za Hashimu?

"Juzi kasema maneno yanayoweza kumharibia," maneno gani? Unakuwa ka whacky yellow journalist wa kibongo.
 
Congrats to Hashim. He is making Tanzania proud. He is showing them that even as Tanzanians can do it. As long as he stays humble I'm sure he will be a big success and he will go a long way(no pun intended).
 
"Mwambieni kijana," kina nani wamwambie?

Ukiwa na cha kusema kuhusu Pinda mbona husemi "mwambieni Pinda aache kuvaa Kaunda Suit zinazoonyesha wife beater ya ndani." Unataka kumkuza Hashimu bure kana kwamba he is too big for JF. Trust me, no matter how high a pedestal the Americans put him on, hawezi kujisikia appreciated iwapo wabongo wenzie wanamuona si kitu, Hashimu anajali kinachosemwa hapa.

Ulichonacho kiseme, sio kutuambia tukamwambie, kwani sisi nani, wabeba ujumbe na taulo za Hashimu?

"Juzi kasema maneno yanayoweza kumharibia," maneno gani? Unakuwa ka whacky yellow journalist wa kibongo.

Mimi nimesema hivyo kwa sababu sina hakika kama anaingia hapa, ila najua kuna fan base yake kubwa ipo hapa na wanaweza kumwambia kwa sababu mimi sin direct access naye.

Simple as that, hayo mengine ni extrapolations zilizo nje ya hoja yangu.
 
Mimi nimesema hivyo kwa sababu sina hakika kama anaingia hapa, ila najua kuna fan base yake kubwa ipo hapa na wanaweza kumwambia kwa sababu mimi sin direct access naye.

Mbona ukiwa na cha kusema kuhusu Pinda haututumi wengine tukamwambie, una hakika Pinda anaingia hapa?

Na umesema Hashimu ametamka mambo yanayoweza kumharibia, mambo gani?
 
6731_232196665003_898135003_7523723_8004923_n.jpg

6731_232191955003_898135003_7523597_5592454_n.jpg
 
we blueray unamanisha nn kusema hashim aliongea pumba majuzi kati???sikiliza kaka binadamu hatuko perfect pia tumeumbwa tofauti kuna wengine wanapenda kujisifu sana kwa mfano mtu kama shaq n.k. kwa ninavyojua hashim huwa ni mtu anayekubali kukosolewa sana hata yeye alishakiri ktk interwiew zake kuwa anahitaji kuongeza bidii kwenye offensive game yake so inawezekana may b aliteleza kulingana na wewe unavyodai ila bado nadiriki kusema pamoja na huko kuteleza unakokusema dogo bado atabaki kuwa mtu muhimu sana kwenye familia yake mpaka kwenye familia yetu kubwa ya wabongo kwa kutupaisha duniani kaka...ushauri tu, u gotta have to love the dude mtu wangu kwa sababu i bet atatisha kinoma kwa kipind kifupi......kama ni kukosolewa walikosolewa hata wakina dwight howard ila leo hii ni nba defensive player of the year....
hashim yuko juuuuuu.........
 
kilichobaki asubutu kupeleka gari bongo kama hawajamwibia redio na kumtoa pesa kem kep pale Bandarini: USHARI WA BURE KWA HASHIM....USITUMIE BANDARI YA DAR ES SALAAM...TUMIA BANDARI YA MOMBASA

Ushauri wa busara sana. He is trying to make us proud,but if trys to send anything back here we will show him how disrepect him
 
Ushauri wa busara sana. He is trying to make us proud,but if trys to send anything back here we will show him how disrepect him

Mkuu ulikuwa unamaanisha nini? naomba uweke kwenye luga ya taifa...
 
we blueray unamanisha nn kusema hashim aliongea pumba majuzi kati???sikiliza kaka binadamu hatuko perfect pia tumeumbwa tofauti kuna wengine wanapenda kujisifu sana kwa mfano mtu kama shaq n.k. kwa ninavyojua hashim huwa ni mtu anayekubali kukosolewa sana hata yeye alishakiri ktk interwiew zake kuwa anahitaji kuongeza bidii kwenye offensive game yake so inawezekana may b aliteleza kulingana na wewe unavyodai ila bado nadiriki kusema pamoja na huko kuteleza unakokusema dogo bado atabaki kuwa mtu muhimu sana kwenye familia yake mpaka kwenye familia yetu kubwa ya wabongo kwa kutupaisha duniani kaka...ushauri tu, u gotta have to love the dude mtu wangu kwa sababu i bet atatisha kinoma kwa kipind kifupi......kama ni kukosolewa walikosolewa hata wakina dwight howard ila leo hii ni nba defensive player of the year....
hashim yuko juuuuuu.........

Ni kwa sababu nampenda Hasheem, na kwa sababu naijua media ya Marekani inavyofanya kazi, na kwa sababu najua philosophy yao ya " we build them and then we tear them down" na kwa sababu najua Hasheem is unsuspecting if not naive, ni kwa sababu hizi niko concerned.

Nasema haya si kwa sababu simpendi, to the contrary, ni kwa sababu naelewa kwamba huyu ameweka historia nchini mwetu na Africa nzima ukiondoa Nigeria, Congo na Sudan (kama kuna nchi nyingine ya Afrika iliyotoa mchezaji NBA naomba wadau muiweke hapa for the records). Kwa hiyo usifikiri kusema haya si kumpenda, ndiyo maana nikasema the whole concept of constructive criticism.
 
Juzi kasema maneno -sijui katika jitihada za kuwa humble au basi tu hajui Marekani it is all about building a brand name- ambayo yanaweza kumharibia.

Bluray, your message is loud and clear its not only him, most of celebrities are brands and need proper guidance on their deeds, Hashimu kasema nini hicho na sie tufaidike??
 
Blue Ray, tumekusoma. You had no any ill-motive but you are only concerned that, Hasheem need people around and should restrain to make statements especially those which can be picked by Paparazi. This is true for all celebrities. But still we need to know what did blantantly said that has shocked you? Please share with us? Did he said..he can't play NBA? All in all, he actually needs the advisors and councellors in all angles, cash handling, media handling, relationship, etc. But we give him five for making where he is. It is a MARK.
 
Back
Top Bottom