Hasheem Thabeet yu wapi!?

Hasheem Thabeet yu wapi!?

Mafanikio ya Hashim ni bajeti ya Tz kwa miaka mitatu ??? Wewe umelogwa
Screenshot_2016-02-14-21-44-52.png



swissme
 
furaha kubwa ya wabongo walio wengi siku zote ni kuona mtu anafeli maisha!! asilimia kubwa ya wabongo ni viumbe wenye roho mbaya sana na ya kwanini fulan afanikiwe! kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, hivyo kushuka kwa Hasheem wabongo wenye roho za korosho wamefurahi sana maana hata comment za baadhi yao zinajieleza, utadhani wanafaidika na Hasheem kutoka NBA!
 
Nakumbuka enzi zile yuko makongo na pensi yake ya kaki akigombana na makonda wa daladala,mala yuko maskani ya zero brain Posta Mpya.
 
Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu.

Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia Hasheem!
Ni masikitiko yangu kwamba simuoni kwenye maHeadline ya michezo na burudani kwa ujumla!

Yu wapi huyu supastaa na afanya nini sasa aliko!?
Kwa wenye data zake wakuu, mimi nashabikia sana wabongo watuwakilishao vyema Internatianale!!
Usicheze na watu wenye dhiki sio wote lkn wengi wao wana roho mbaya wanatamani udrop wakupake mavi usoni
 
Hashimu thabit baba wacha kung'ang'ania D league, ushajua NBA huiwezi, hebu nenda walau China piga kikapu huko unaweza kuwa superstar, uuze hata snikers. Umri waku retire unakaribia.
 
Kwa hiyo jamaa hapigi kikapu tena!?
 
Kuna wakati alikuja PostA wakati Yuki Oklahoma. Nikampa hi! Jamaa maskani walini-mind kichizi eti najichoresha. Akomae tu arudishe heshima yake azidi kupiga mkwanja.
 
Muulize kwanza bajeti ya Tz kwa mwaka ni sh ngapi..Unaweza kuwa unamlaumu kumbe hajui
Aliyetoa mfano ndio hajui, hadi anataka kulinganisha pesa za huyo Hashimu na budget ya TZ. Au na wewe hujui mkuu?
 
Mkuu watakucheka watu mkuu. Hivi unajua unaloliongea? Au ndio zile figures mnazosoma kwenye magazeti ya udaku? Unajua budget ya mwaka ni kiasi gani?
By the way, hata kama ana pesa budget ya TZ miaka mitatu, kwani hapo ndio mwisho wa kuwa na mafanikio?
Mkuu una hakika huu ujumbe ni wangu ?? Mimi nimeshangaa huyo anayesema Utajiri wa Hashim ni bajeti ya Tz miaka mitatu ,
 
Aliyetoa mfano ndio hajui, hadi anataka kulinganisha pesa za huyo Hashimu na budget ya TZ. Au na wewe hujui mkuu?
Mkuu sijaelewa unasimama upande gani..Unakubali kuwa mafanikio ya Hasheem ni bajeti ya Tz kwa miaka 3?
 
Sorry mkuu. Sikuona viulizo!!!! Nilishangaa UncleBen!!! nikasoma mara mbili mbili... Sorry
Hamna shida mkuu japo sijui hesabu kihivyo lakini ni ujinga kulinganisha hela za Hashim na Bajeti ya Tz ya wiki tu achilia mbali ya miaka mitatu ,
 
Back
Top Bottom