Hasheem Thabeet yu wapi!?

furaha kubwa ya wabongo walio wengi siku zote ni kuona mtu anafeli maisha!! asilimia kubwa ya wabongo ni viumbe wenye roho mbaya sana na ya kwanini fulan afanikiwe! kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, hivyo kushuka kwa Hasheem wabongo wenye roho za korosho wamefurahi sana maana hata comment za baadhi yao zinajieleza, utadhani wanafaidika na Hasheem kutoka NBA!
 
Nakumbuka enzi zile yuko makongo na pensi yake ya kaki akigombana na makonda wa daladala,mala yuko maskani ya zero brain Posta Mpya.
 
Usicheze na watu wenye dhiki sio wote lkn wengi wao wana roho mbaya wanatamani udrop wakupake mavi usoni
 
Hashimu thabit baba wacha kung'ang'ania D league, ushajua NBA huiwezi, hebu nenda walau China piga kikapu huko unaweza kuwa superstar, uuze hata snikers. Umri waku retire unakaribia.
 
Kwa hiyo jamaa hapigi kikapu tena!?
 
Kuna wakati alikuja PostA wakati Yuki Oklahoma. Nikampa hi! Jamaa maskani walini-mind kichizi eti najichoresha. Akomae tu arudishe heshima yake azidi kupiga mkwanja.
 
Muulize kwanza bajeti ya Tz kwa mwaka ni sh ngapi..Unaweza kuwa unamlaumu kumbe hajui
Aliyetoa mfano ndio hajui, hadi anataka kulinganisha pesa za huyo Hashimu na budget ya TZ. Au na wewe hujui mkuu?
 
Mkuu una hakika huu ujumbe ni wangu ?? Mimi nimeshangaa huyo anayesema Utajiri wa Hashim ni bajeti ya Tz miaka mitatu ,
 
Aliyetoa mfano ndio hajui, hadi anataka kulinganisha pesa za huyo Hashimu na budget ya TZ. Au na wewe hujui mkuu?
Mkuu sijaelewa unasimama upande gani..Unakubali kuwa mafanikio ya Hasheem ni bajeti ya Tz kwa miaka 3?
 
Sorry mkuu. Sikuona viulizo!!!! Nilishangaa UncleBen!!! nikasoma mara mbili mbili... Sorry
Hamna shida mkuu japo sijui hesabu kihivyo lakini ni ujinga kulinganisha hela za Hashim na Bajeti ya Tz ya wiki tu achilia mbali ya miaka mitatu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…