ajiunge kwenye porno tu sasa
Ha ha huo unamfaaaHaaaaa best ushauri in.2016 lols
Mkuu uliowataja hapa hawafananii na ndugu yetu Hasheem kwa mafanikio katika nyanja yao!Naona alipofikia ni juhudi zake mwenyewe na hakuna mtu aliyemsaidia.Hata hivyo kuna kikomo cha juhudi za mtu,kwamba hawezi kuji-stretch zaidi ya alipokuwa,hii ndo maana hata mafanikio ya member hapa jf tunatofautiana sana kuanzia pesa,shule mpaka position.Kuna chombo chochote cha habari kimemhoji changamoto alizopitia hadi akashuka? Tunavyompima juhudi zake,mafanikio yake,ku-fail kwake na kasoro zake in reverse tujipime na sisi vivyo hivyo katika maisha yetu.Je tunaweza hata kujaribu aliyoyapata.Kwanini Ozil hajawa kama Messi au Messi kuwa kama Pele wa Brazil,au Willium Gilbert na Nikola Tesla kuwa kama Albert Einstein na Isaack Newton.
Uwezo wa mtu una limit yake,na una time-limit yake kukaa katika peak japo kuna mengine yanaweza kuingilia pia.
Kijana usidharau mtu usiyemjua, maneno yako yatakutokea puani and for sure you'll regret...jamiiforum isikupe kichwa ukajiona wewe bora katika kuropokaInaonekana roho inakuuma jamaa kumiliki mkwanja mrefu. ungekuwa unafaa angekuajiri japo kazi ya kutunza mbwa wake. but even kwa hiyo job hufai. kafagie barabara za kwenu tandale
Yule dem kidoti huwa hadumu na mwanaume ni kwanini?Alikula nyuchi yenye mkosi ya kidoti lazima aharibikiwe tu!
Yeuwiii kelewiii auwuii kidoti ukiwa Kama wema umekwishaaaaKidoti anakula ujana!! Au ndo vile tena waoaji wanaogopa kuoa madem wenye historia mbaya ya mahusiano!!