Hasheem Thabeet yu wapi!?

Hasheem Thabeet yu wapi!?

jamaa 2009 draft pick alikua ahead of James Harden and Steph Curry ambao hao wote sasa ni MVPs aisee...but niliskia fununu huko f league anakimbiza kimtindo..so LA Lakers wana monitor situation
 
mhhh mkuu sio griffin ndo alikuwa namba 1
 
Huna jipya wewe, nabishana na mtu ambaye amekaa kubishana na si kuelewa...hata awe na mkwanja mrefu kiasi gani si budget ya Tanzania hata kwa mwaka mmoja...kubali uliteleza hapo awali basi lakini si kutetea upumbavu
Nyie vip haa uwiiii euwiiii yeuwiii ,yeleuwiii
 
Ana mkwanja mlefu kinoma but hapendi makuu. nenda Mikocheni pembeni mwa indian ocean uone apartmentes anazojenga utazimia
Mnabishana hadi mnataka kutoana roho looh yeuwiii auwiii ewiiio
 
Hizi ndizo baadhi ya khabar za bwana Hashimu Thabiti...mcheza kikapu....Life is a Roller Coaster
 
Attachments

  • hashimu.PNG
    hashimu.PNG
    55.7 KB · Views: 74
jamaa 2009 draft pick alikua ahead of James Harden and Steph Curry ambao hao wote sasa ni MVPs aisee...but niliskia fununu huko f league anakimbiza kimtindo..so LA Lakers wana monitor situation

Yaani hii kitu ndiyo inanifanya nijiulize maswali sana mkuu, mbona DeMar DeRozan, Stephen Curry, James Harden na Blake Griffin wana shine, why Hasheem, inabidi akaze ili arudi NBA.
 
Jamaa alifanya vizuri sana kama unakumbuka alikua overall second pick kuingia NBA hii sio ishu ndogo

Aliteleza tu kidogo na hakufikia expectations za timu walizomsajili ila alimake mpunga wa maana sababu kuna kipindi OKC walimpa contract ya millions of usd hela ndefu

Ila kwa ushauri wangu kama nafasi NBA imekua ngumu asikomae huko Leage D aende zake China au spain kuna kikapu kizuri tu na pesa ya kutosha mfano China wamewekeza sana katika michezo thats why preseasons unaona timu za NBA zinafanya safari huko ku extend their fan base
Tatizo huko unakosema aende ndio kunahitaji skills kuliko NBA.
 
Huna jipya wewe, nabishana na mtu ambaye amekaa kubishana na si kuelewa...hata awe na mkwanja mrefu kiasi gani si budget ya Tanzania hata kwa mwaka mmoja...kubali uliteleza hapo awali basi lakini si kutetea upumbavu
Inaonekana roho inakuuma jamaa kumiliki mkwanja mrefu. ungekuwa unafaa angekuajiri japo kazi ya kutunza mbwa wake. but even kwa hiyo job hufai. kafagie barabara za kwenu tandale
 
Angekuwa na hizo pesa unazosema hapa mdogo wake asingeishi kwa kupiga picha hapa mjini...
 
Huyu jamaa atakua alijiloga mwenyewe ,yaani jitu refu vile kutembea na Vanesa ? Ule ulikua ukiukwaji wa haki za binadamu kabisa , Natania tu ,sijui ni nini kimempata ndugu yetu Hashim
Niki compare body max index (BMI) zao daah ni shiider.
 
Angekuwa na hizo pesa unazosema hapa mdogo wake asingeishi kwa kupiga picha hapa mjini...
Unajua hata km una pesa sio vzr ukae tu bila kazi. so inabidi unafanya japo mazoezi. ndo hicho anachokifanya mdogo wake
 
Yaani hii kitu ndiyo inanifanya nijiulize maswali sana mkuu, mbona DeMar DeRozan, Stephen Curry, James Harden na Blake Griffin wana shine, why Hasheem, inabidi akaze ili arudi NBA.

Hao Black- Americans si unajua mizuka mingi..never say never spirit na pia utata na attitude flani hivi..traits muhimu kwenye kikapu..meanwhile Thabeet ana upole flani for a big man..na mizuka hana!!
 
Unajua hata km una pesa sio vzr ukae tu bila kazi. so inabidi unafanya japo mazoezi. ndo hicho anachokifanya mdogo wake
Mkuu huyo dogo alipelekwa mpaka US na kakake akasome ila ndio hivyo kule alikosa attention kama hivi viattention alivyokuwa anapewa na masista duu wa Bongo kwa mgongo wa kakake... Mwishowe shule ikamshinda kule akarudi kufungua Studio sasa hivi yupo tu anapiga piga picha na yule Ammy Nando aliyeshiriki Big Brother Africa..

Hasheem maisha yake sasahivi sio super kiivo mkuu, tena ukizingatia hana Investment yoyote ya maana sana hapa mjini... Jamaa wakati anazishika alikuwa na expenditures za kijinga jinga, akirudi Bongo fujo kila mahali na kupiga akina TID mitama... Alafu isitoshe akaanza kupiga mpaka videmu njaa vya mjini hapa wakati wenzake akina Serge Ibaka wa Congo hapo anapiga akina Keri Hilson... Jamaa alikuwa na potential ya kuwa mbali sana sasahivi, angekuwa anasign hata deals za US $ 15M kwa season, hapo angesign hata ya miaka minne tu basi tungesema jamaa umaskini kauaga... Ila hivi videal vyake vya US $ 2 M kwa US mkuu ni pesa ndogo sana, hata nyumba ya hadhi yake hapati.. Sana sana ataishia kuishi kwenye vi'appartment kama wabeba box walioenda kule bila Profession.. Wenzake ambao walikuwa drafted nae mwaka mmoja wako mbali sana, kama hawa Stephen Curry na James Harden walikuwa wanapiga zoezi Gym moja na Hasheem lakini sasahivi ndio MVP's na wana bright future...

Hatuongei haya kwa kufurahi, It disappoint kwa kweli, Watanzania sijui hata tunajua nini, majirani zetu UG na Kenya wana wachezaji ligi ya NFL kule US, Kenya wana wachezaji ligi kuu za Ulaya, Kenya wanatamba kwenye Rugby duniani, Kenya wanatamba kwenye Mbio duniani ila sisi sijui ni nani wakututoa kimasomaso... Huyu Samatta achukulie hii kama challenge, asibweteke kabisa..
 
Dah!! umepanic mpaka povu linakutoka mdomoni poleee.... kauli yangu ni moja tuu...let me tell u. utajiri anaouogelea ni balaa..mengine tc secret siwezi weka wazi humu ila tambua hilo. kuhusu mdogo wake hivi unajua mi kampuni ngapi anazimiliki hapa bongo? usipende kukurupuka kuongea ongea kwa mambo usiyoyajua
 
Mkuu huyo dogo unayenambia mi namjua vizuri... Hivi ukitoa ile Slide Visuals huyo dogo na kakake wana nini hapa Bongo??

Utajiri anaouogelea ni upi mkuu?? Huyo Hasheem kwa sasa hata huyo Diamond hamkamati, una habari mamake anataka kuhamishwa kule Masaki?? Kama niko sahihi atakuwa ameshahama..
 
Mambo km huyajui ni bora ukae kimya! sio kila mwenye pesa anajitangaza tangaza ovyo. but utajiri wa hiyo family ni mkubwa kuliko unavofikiria ila hawapendi majigambo
 
Dah!! umepanic mpaka povu linakutoka mdomoni poleee.... kauli yangu ni moja tuu...let me tell u. utajiri anaouogelea ni balaa..mengine tc secret siwezi weka wazi humu ila tambua hilo. kuhusu mdogo wake hivi unajua mi kampuni ngapi anazimiliki hapa bongo? usipende kukurupuka kuongea ongea kwa mambo usiyoyajua

Tatizo watu wengi hawajui kilicho nyuma ya hizo industry.
 
Back
Top Bottom