Hasheem Thabeet yu wapi!?

Hasheem Thabeet yu wapi!?

furaha kubwa ya wabongo walio wengi siku zote ni kuona mtu anafeli maisha!! asilimia kubwa ya wabongo ni viumbe wenye roho mbaya sana na ya kwanini fulan afanikiwe! kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, hivyo kushuka kwa Hasheem wabongo wenye roho za korosho wamefurahi sana maana hata comment za baadhi yao zinajieleza, utadhani wanafaidika na Hasheem kutoka NBA!
Kweli kabisa mkuu. Wao wanakawaida ya kumngojea chini aliye juu.
 
Acheni kumsema vibaya jirani yangu. nendeni kwenye website ya NBA utajua wapi yuko. othrws mnapiga domo la bure tu but kufikia mafanikio yake lbd budget ya Tz 3yrs
Kweli akili huna hata chembe hivi unaijua bajeti ya Tz au unaropokwa tu.
 
Mkuu huyo dogo unayenambia mi namjua vizuri... Hivi ukitoa ile Slide Visuals huyo dogo na kakake wana nini hapa Bongo??

Utajiri anaouogelea ni upi mkuu?? Huyo Hasheem kwa sasa hata huyo Diamond hamkamati, una habari mamake anataka kuhamishwa kule Masaki?? Kama niko sahihi atakuwa ameshahama..
Amesharejea Sinza? au Ndio Maana Diamond kaimba ule wimbo wa Utanipendaga alikuwa akimnanga Huyu Jamaa asiye Thabiti
 
Acheni kumsema vibaya jirani yangu. nendeni kwenye website ya NBA utajua wapi yuko. othrws mnapiga domo la bure tu but kufikia mafanikio yake lbd budget ya Tz 3yrs
Sasa Wege ulieenda kwenye hio website ya NBA si utuambie..?
 
Mambo km huyajui ni bora ukae kimya! sio kila mwenye pesa anajitangaza tangaza ovyo. but utajiri wa hiyo family ni mkubwa kuliko unavofikiria ila hawapendi majigambo
nadhani ww unachoongea haukijui huyu jamaa amepoteza sana maana kipindi kile kushika zile pesa zika mchengua sana
Sifa ya pesa ni;
  1. Save;weka akiba ili ikusaidie hapo baadae
  2. Invest;Wekeza ktk miradi mbalimbali ata kama ikatokea siku moja umeyumba bac unaweza kusurvive kimaisha
  3. Charty;Saidia kada mbalimbali yenye uitaji wa msaada mfano watoto yatima,wagonjwa,wajane na wafungwa magerezani
    Sipo hapa kutoa hukumu ila tujiulize kwa mtu kama hashimu hivi ktk hayo mambo hapo juu lipi kalifanya maana Mungu anasema ukitoa utapokea sasa yy kwenye starehe kushinda billicanas kushindana na mtoto wa kimei ni ujinga badala ya kufanya mazoezi ww unakula bata alafu unategemea uendelee kucheza NBA ligi yenye ushindani mkubwa na kila mwaka wanafanya usajili mpya.Mwisho akumbuke kua umri unaenda haurudi nyuma.
 
Mkuu huyo dogo unayenambia mi namjua vizuri... Hivi ukitoa ile Slide Visuals huyo dogo na kakake wana nini hapa Bongo??

Utajiri anaouogelea ni upi mkuu?? Huyo Hasheem kwa sasa hata huyo Diamond hamkamati, una habari mamake anataka kuhamishwa kule Masaki?? Kama niko sahihi atakuwa ameshahama..

Hivi Michael MX sio mmiliki wa slide visuals au ndio mdogo wake mnaemzungumzia?
 
Dah!! umepanic mpaka povu linakutoka mdomoni poleee.... kauli yangu ni moja tuu...let me tell u. utajiri anaouogelea ni balaa..mengine tc secret siwezi weka wazi humu ila tambua hilo. kuhusu mdogo wake hivi unajua mi kampuni ngapi anazimiliki hapa bongo? usipende kukurupuka kuongea ongea kwa mambo usiyoyajua
Tatizo watanzania hampendi kuelezwa ukweli.hebu niambie jamaa hapo kaeleza nini kibaya kumhusu hasheem?
 
madem/mastar wa bongo wana GUNDU asee, ukiwazoea mbona inakula kwako. Chibu alistuka mapema.
 
Dah!! umepanic mpaka povu linakutoka mdomoni poleee.... kauli yangu ni moja tuu...let me tell u. utajiri anaouogelea ni balaa..mengine tc secret siwezi weka wazi humu ila tambua hilo. kuhusu mdogo wake hivi unajua mi kampuni ngapi anazimiliki hapa bongo? usipende kukurupuka kuongea ongea kwa mambo usiyoyajua
Mmmh kuna watu mnauweza upambe kwelikweli HONGERA..
 
Back
Top Bottom