Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Gasol anamkaba Gasol. 😀
Naona pamoja na vikapu 44 vya The Mamba lakini bado LAL wameangukia pua.
Leo wamecheza na Lakers. Wamewadunga 95-93. Kesho zamu ya Le Bron..😀
Mh land of ten thousands lakes, are you in MN?.Kwa Thabit,
Nilikuwa mmoja wa watazamaji wa NBA game 26, nikiwa na wenzangu kwenye Executive Suite 19 kwa furaha na bashasha niliwatambulisha kuwa Thabit ni mtanzania mwenzangu. By half time wale colleagues wangu walinigeukia na kunitahadharisha kuwa kama Thabit hatokaza buti basi ataishia mkataba alionao. Japo sikukubaliana nao lakini the fact kwamba ulichezeshwa dakika 4 na sekunde 30 tu ilininyongonyesha.
- Umebarikiwa urefu hivyo utumie vizuri
- Kuwa aggressive na ongeza confidence. Mfano wakati wa mapumziko
mlipokuwa mnafanya mazoezi ya kufunga, ulirusha mipira mara 3 tu kwenye
kikapu na muda wote ulikuwa unachukua mipira na kuwapa wenzio warushe.
Hii Ilitoa picha ya kutojiamini na kujishusha.
By the way wakati ukitoka niliona umemrushia mpenzi mmoja kitu niliona ile ni gesture nzuri ugenini. Kufunga tuliwafunga lakini nakubali timu yenu ilicheza vizuri.
Kila la heri.
Kwa Thabit,

Nakubalina nawe kabisa. Hasheem hana consistency kabisa ukilinganisha na alipokuwa Connecticut na uchezaji wake pale ndiyo ulimsababisha mpaka awe drafted 2nd baada ya yule mcheza wa Clippers. Inabidi ajitume sana ili aweze kuwa mchezaji wa kutegemewa na timu yake vinginevyo baada ya mkataba huo na Memphis sidhani kama kuna timu itamtaka. Nimewahi kuangalia mechi chache za timu yake kwenye TV na madhumuni makubwa yalikuwa ni kumuangalia Hasheem na mara nyingi muda mwingi alikuwa kwenye bench.
Bado ana muda wa kutosha kuweza kuinua kiwango cha uchezaji wake lakini ili kufanya hivyo inabidi ajitume sana na hata kufanya mazoezi zaidi katika muda wake wa binafsi.
Mmmmh masikini Hasheem, nilifikiri ameshauaga umasikini!!! Kumbe loh....
kuna member wa jf humu......
zamani alisema kuwa Hasheem akija bongo
watamroga,,,,
now i remember that,could it be.......??????
ha ha ha......
He really needs to improve his offensive game, he doesn't score that often! My advice on personal practice: make at least 200 jump shots (inside 3 point line/especially along the lane lines and in the paint for the Centre player like you) a day, at least 100 free throws a day, do proper post-up on the low post (both sides of the court), do some basic lay ups to build up your confidense, etc....
Good luck bwoy!
mkuu
hizo 100/200 shots tulikuwa tunafanya wakati tunacheza bongo...huku NBA they talk about thousands shots made a day