Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]mkuu we ndo umeua kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au anatia mguu kimya kimya na kuondoka zake.

QUOTE="witnessj, post: 30891594, member: 280316"]Kabisa...au siku hizi bongo hatii maguu?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu amewahi kuangalia kipindi cha broke and famous, channel 132 Dstv ataelewa jinsi ilivyo rahisi kwa mtu maarufu kuporomoka kiuchumi, kama asipokuwa makini
 
Sio kwa bongo hii mkuu. Basket bongo haina kipaumbele kabisa. Afu serikali yetu kwenye michezo bado haijafanya investment ya kutosha. Kuwapa wale wachezaji viwanja mm naona sio kuendeleza na kusapoti michezo. Wale waliopewa viwanja watazeeka na kuacha kucheza, lkn kama hizo hela zingetumika kuinvest katika academies mbalimbali basi tungetengeza kizazi kizuri na timu ambayo inakua vzr continously ktk soka.

Hasheem baki zako tu huko. Huku bongo vipaji havithaminiwi. Na hilo ndo tatizo kubwa ktk hii nchi yetu katika nyanja zote, be it sports,uchumi, elimu,technology, etc...
 
Jamani kitapu ni mchezo mgumu sana. Bro alitinyanga kujisahau flani hivi, alipoona upepo unachange Nba angejiongeza hata Crevna Zvedas, morna bar ,Zadar, Helbalife Granca sababu kwa ile flop hawezi pata namba Fenerbache instanbul, Barcelona Lassa, Realmadrid , Ax Exchange Armano Milan, Zarlgis Kauna, Panathinaicos, Reggina. Basket sio football jamani dimba limekushinda ila pjanic anachafua wee anakusaidia anawapoteza wachezaji wote wa upinzani. Tunafurahigi tu kusikia mtangazaji akisema it is a one position game what a block from Nicolo Melliiii, moerman can't believe it.
 
Alimnunulia nyumba by that time, sasa anarudije Sinza!
 
Sio zamani mpaka sasa anaamn atarudi nba ya marekani.Aisee papuchi za mademu wa kibongo haziez zikakuacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ndio zilimpoteza mwamba! Tittle ya jamaa ni baller wa NBA sio mchezo! Unafikiri utazikwepa ngapi maana zinaanza kujigonga kuanzia za Primary mpaka za A level! Bado kuna zile za Chuo na unazopishana nazo Club halafu ukicheki we ndio VIP tena...lazma uwakate makofi wasanii wa bongo flava tu ambao wana waya mkali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…