Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Mkuu hela ya kutoa tu bila kuingiza hua inakata ghafla sana bila kutegemea! Hasa kwa lifestyle ya watu maarufu. Kuna msanii mmoja mkubwa wa marekani alikua anaelezea jinsi alivyofilisika mpaka akabaki na dola 100 pekee kwenye akaunti ndio nilishangaa. Mi nakuambia Hashimu hana 10m cash hapo alipo kwa sasa [emoji3]
Duhh!hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua kibongo bongo ukiwa na 10m bado unaweza kusikika au kuonekana onekana walau baadhi ya sehemu za starehe. Ukiona mtu hasikiki wala haonekani kabisa popote ujue ndio ivyo tena balance haisomi 😀
Jamaa anapumulia Mashine,hata Mama yake na yeye kapotea kabisa kwenye vipindi vya redio,enzi zile kutwa alikuwa anashinda kwenye vituo vya runinga na redio kuhamasisha wananzengo kuhusu mafanikio.
 
hasheem hayupo nba.. yupo japan ila hela anayo ya kutosha tu
Suala siyo hela, ni kujitambua. Tunajadili mafanikio ya taaluma aliyochagua. Kama ni hela hata wacheza porno wanapata kibao!
 
Umeongea Jambo la maana. Kuna wakati niliona mahojiano ya capital tv sports kolowa akimuhoji mchezo wa asili ya Kongo alishinda mataji nba nimemsahau Jina akawa anasema mafanikio ni kufanya mazoezi makali/ magumu bila kuacha na nidhamu ya hali ya juu kiasi kwamba kila unapopiga hatua ya mafanikio unajiona hujafanya kitu na una njaa ya kufanikiwa zaidi hata ukichukua ubingwa bado unakuwa na kiu ya kufanikiwa zaidi. Starehe inakuwa mbali, kula hovyohovyo mbali, Uvivu mbali.curry, Lebron, Jordan,kobe nk wanamihela lakini ni humble watu wa kujishusha , wana nidhamu kwa kocha na Ajira zao. Hashim Hana kipaji ni urefu ndiyo ulimsaidia ameshindwa kujiendeleza amepoteza nafasi. Hasara kwake na Tanzania maana angefanikiwa nba ingezidi kutafuta vijana wengine wa kitanzania
Jamaa wa Kongo ni Dikembe Mutombo. Ni jamaa safi na anajitambua sana. Hata baada ya michezo yake sasa ni philanthropist. Kama ulivyosema siyo mtu wa kujikuza na kila wakati anakubali umaskini wa DRC hadi alipojenga hospitali kubwa Congo, alipewa misaada sana! Huyu mwenzetu alihangaikia kuwakoga wa-TZ wenzake badala ya kuwasaidia. Hapo unahitaji kujitambua. Lazima kichwani uwe bora. SIyo mtu anayeigiza kusahau kiswahili.
 
Jamani kitapu ni mchezo mgumu sana. Bro alitinyanga kujisahau flani hivi, alipoona upepo unachange Nba angejiongeza hata Crevna Zvedas, morna bar ,Zadar, Helbalife Granca sababu kwa ile flop hawezi pata namba Fenerbache instanbul, Barcelona Lassa, Realmadrid , Ax Exchange Armano Milan, Zarlgis Kauna, Panathinaicos, Reggina. Basket sio football jamani dimba limekushinda ila pjanic anachafua wee anakusaidia anawapoteza wachezaji wote wa upinzani. Tunafurahigi tu kusikia mtangazaji akisema it is a one position game what a block from Nicolo Melliiii, moerman can't believe it.
Aseee[emoji848]...unazungumzia nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anapumulia Mashine,hata Mama yake na yeye kapotea kabisa kwenye vipindi vya redio,enzi zile kutwa alikuwa anashinda kwenye vituo vya runinga na redio kuhamasisha wananzengo kuhusu mafanikio.
Bwahaaaaaahhaa....mamammae mbongo nuksi[emoji1787][emoji1787]

Bado mama D...mbibi ana sifa yule khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
akifika umri wa kina pita tino atarud

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Jamaa wa Kongo ni Dikembe Mutombo. Ni jamaa safi na anajitambua sana. Hata baada ya michezo yake sasa ni philanthropist. Kama ulivyosema siyo mtu wa kujikuza na kila wakati anakubali umaskini wa DRC hadi alipojenga hospitali kubwa Congo, alipewa misaada sana! Huyu mwenzetu alihangaikia kuwakoga wa-TZ wenzake badala ya kuwasaidia. Hapo unahitaji kujitambua. Lazima kichwani uwe bora. SIyo mtu anayeigiza kusahau kiswahili.
Alikuwa Didier Mbenga kaka sio Mutombo
 
Back
Top Bottom