Duhh!hatariMkuu hela ya kutoa tu bila kuingiza hua inakata ghafla sana bila kutegemea! Hasa kwa lifestyle ya watu maarufu. Kuna msanii mmoja mkubwa wa marekani alikua anaelezea jinsi alivyofilisika mpaka akabaki na dola 100 pekee kwenye akaunti ndio nilishangaa. Mi nakuambia Hashimu hana 10m cash hapo alipo kwa sasa [emoji3]
Hana timu, yuko Guangzhou huko wanamshangaa urefu
Kwa sababu tu ya kiwanja cha bure, au kuna lingine?!Naamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
Unajuaje anayo ya kutosha? Anachezea timu gani na analipwaje? Ila mpira wa Hashim ulishakufa, japo hata wakati uko "hai" hakuwa na mpira wa maana!hasheem hayupo nba.. yupo japan ila hela anayo ya kutosha tu
Unaambiwa anakuja Bongo "MYAKI MYAKI" πππππππππ Chezea Kufulia wewe!!
Jamaa anapumulia Mashine,hata Mama yake na yeye kapotea kabisa kwenye vipindi vya redio,enzi zile kutwa alikuwa anashinda kwenye vituo vya runinga na redio kuhamasisha wananzengo kuhusu mafanikio.Mkuu unajua kibongo bongo ukiwa na 10m bado unaweza kusikika au kuonekana onekana walau baadhi ya sehemu za starehe. Ukiona mtu hasikiki wala haonekani kabisa popote ujue ndio ivyo tena balance haisomi π
Suala siyo hela, ni kujitambua. Tunajadili mafanikio ya taaluma aliyochagua. Kama ni hela hata wacheza porno wanapata kibao!hasheem hayupo nba.. yupo japan ila hela anayo ya kutosha tu
Jamaa wa Kongo ni Dikembe Mutombo. Ni jamaa safi na anajitambua sana. Hata baada ya michezo yake sasa ni philanthropist. Kama ulivyosema siyo mtu wa kujikuza na kila wakati anakubali umaskini wa DRC hadi alipojenga hospitali kubwa Congo, alipewa misaada sana! Huyu mwenzetu alihangaikia kuwakoga wa-TZ wenzake badala ya kuwasaidia. Hapo unahitaji kujitambua. Lazima kichwani uwe bora. SIyo mtu anayeigiza kusahau kiswahili.Umeongea Jambo la maana. Kuna wakati niliona mahojiano ya capital tv sports kolowa akimuhoji mchezo wa asili ya Kongo alishinda mataji nba nimemsahau Jina akawa anasema mafanikio ni kufanya mazoezi makali/ magumu bila kuacha na nidhamu ya hali ya juu kiasi kwamba kila unapopiga hatua ya mafanikio unajiona hujafanya kitu na una njaa ya kufanikiwa zaidi hata ukichukua ubingwa bado unakuwa na kiu ya kufanikiwa zaidi. Starehe inakuwa mbali, kula hovyohovyo mbali, Uvivu mbali.curry, Lebron, Jordan,kobe nk wanamihela lakini ni humble watu wa kujishusha , wana nidhamu kwa kocha na Ajira zao. Hashim Hana kipaji ni urefu ndiyo ulimsaidia ameshindwa kujiendeleza amepoteza nafasi. Hasara kwake na Tanzania maana angefanikiwa nba ingezidi kutafuta vijana wengine wa kitanzania
Ukweli huuMkuu unajua kibongo bongo ukiwa na 10m bado unaweza kusikika au kuonekana onekana walau baadhi ya sehemu za starehe. Ukiona mtu hasikiki wala haonekani kabisa popote ujue ndio ivyo tena balance haisomi [emoji3]
Aseee[emoji848]...unazungumzia nini mkuu?Jamani kitapu ni mchezo mgumu sana. Bro alitinyanga kujisahau flani hivi, alipoona upepo unachange Nba angejiongeza hata Crevna Zvedas, morna bar ,Zadar, Helbalife Granca sababu kwa ile flop hawezi pata namba Fenerbache instanbul, Barcelona Lassa, Realmadrid , Ax Exchange Armano Milan, Zarlgis Kauna, Panathinaicos, Reggina. Basket sio football jamani dimba limekushinda ila pjanic anachafua wee anakusaidia anawapoteza wachezaji wote wa upinzani. Tunafurahigi tu kusikia mtangazaji akisema it is a one position game what a block from Nicolo Melliiii, moerman can't believe it.
Kwahiyo B8 alizimalizia kwenye papuchi mkuu?Jamaa alikuwa mchovu licha ya kupiga tizi sana. Ila so far aliinjoy maisha at some point in life. Nampongeza kwa hilo. Kupiga B8 on your 20's kibongobongo ni major achievement!
AseeUnaambiwa anakuja Bongo "MYAKI MYAKI" πππππππππ Chezea Kufulia wewe!!
Bwahaaaaaahhaa....mamammae mbongo nuksi[emoji1787][emoji1787]Jamaa anapumulia Mashine,hata Mama yake na yeye kapotea kabisa kwenye vipindi vya redio,enzi zile kutwa alikuwa anashinda kwenye vituo vya runinga na redio kuhamasisha wananzengo kuhusu mafanikio.
Sa kwa style za kulipia shampeni na whisky za bei mbaya kwa kufunga club unatoboa vipi? Hahaha!!!
Hahahaha
Bwahaaaaaahhaa....mamammae mbongo nuksi[emoji1787][emoji1787]
Bado mama D...mbibi ana sifa yule khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa Didier Mbenga kaka sio MutomboJamaa wa Kongo ni Dikembe Mutombo. Ni jamaa safi na anajitambua sana. Hata baada ya michezo yake sasa ni philanthropist. Kama ulivyosema siyo mtu wa kujikuza na kila wakati anakubali umaskini wa DRC hadi alipojenga hospitali kubwa Congo, alipewa misaada sana! Huyu mwenzetu alihangaikia kuwakoga wa-TZ wenzake badala ya kuwasaidia. Hapo unahitaji kujitambua. Lazima kichwani uwe bora. SIyo mtu anayeigiza kusahau kiswahili.