Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Anamiliki paspoti ya nchi gani kama ni USA imekula kwake,shida hatuna uraia wa nchi Mbili
 
Kipato cha nusu saa cha mtoaji
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamba kuongea kiingereza mkuu ? Yaani ww unataka umpangie mtu aongee unavyotaka ww
 
Naamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
Huko Dodoma hata bila kupewa ardhi anaweza akawa na viwanja kadhaa maana baba yake ana asili ya Dodoma na alishafanya kazi miaka ile iliyopita mpaka miaka ya 90 kuelekea 2000 kwenye taasisi zenye unasaba na CDA ambapo watumishi wote walikuwa wana viwanja vya kutosha kwenye maeneo yote mazuri ya mji wa Dodoma na wengine wamewachukulia mpaka watoto wao
 

Jamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
 
Umeongea ukweli braza, mi sikutaka kulisems hili
 
Jamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Dah! That's life
 
Kwan umesikia anashindwa kumilik kiwanja dodoma??
Yaan na akil zako unataka kunambia jamaa afanye hayo uliyomshauri kisa??na yy apewe fadhila kama hizo??
Hapo sasa utakua ujinga.Maana hapo hakuna mision wala vision ya msingi.
Kama ni kiwanja au ardh huyu jamaa anaweza akamiliki popote pale nchi hii kwa gharama zake mwenyewe.
 
Hasheem kasanda mkuu,era yake imepita,alipata shot kaharibu,liwe funzo kwa wengine,jamaa alipata fedha sana mwaka 2009 -2010 alifanya kufuru,alinunua hummer akanunua Range Rover Vogue,kutwa yupo TZ show off Mlimani city na kina JOKATE,kutwa kushinda CLUB kunywa pombe na kupigana na kina TID wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi 24 hrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…