Anamiliki paspoti ya nchi gani kama ni USA imekula kwake,shida hatuna uraia wa nchi MbiliHasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203