Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Na hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..

Ili uendelee kubaki NBA unatakiwa u'developed month in month out.. The guy didn't tangia mwaka wake wa kwanza na wala hakufanikiwa kupata mkataba wowote wa maana zaidi ya rookie salary ingawa aliingia NBA akiwa 2 overall on draft. Wenzake alioingia nao NBA sasahivi ndio mastar wakubwa na wanalipwa mabillion ya shilling na mikataba minono ya kibiashara akina Steph Curry, Blake Griffin, Demar Derozan, James Harden and the likes

The guy is totally a failure na hana pesa yeyote kama mnavyodhani, hata Ali Kiba, Msuva, Bocco wanaweza kuwa na pesa kuliko yeye
Umeongea Jambo la maana. Kuna wakati niliona mahojiano ya capital tv sports kolowa akimuhoji mchezo wa asili ya Kongo alishinda mataji nba nimemsahau Jina akawa anasema mafanikio ni kufanya mazoezi makali/ magumu bila kuacha na nidhamu ya hali ya juu kiasi kwamba kila unapopiga hatua ya mafanikio unajiona hujafanya kitu na una njaa ya kufanikiwa zaidi hata ukichukua ubingwa bado unakuwa na kiu ya kufanikiwa zaidi. Starehe inakuwa mbali, kula hovyohovyo mbali, Uvivu mbali.curry, Lebron, Jordan,kobe nk wanamihela lakini ni humble watu wa kujishusha , wana nidhamu kwa kocha na Ajira zao. Hashim Hana kipaji ni urefu ndiyo ulimsaidia ameshindwa kujiendeleza amepoteza nafasi. Hasara kwake na Tanzania maana angefanikiwa nba ingezidi kutafuta vijana wengine wa kitanzania
 
Yes amefanikiwa kutoka mchangani Dsm mpaka US then Japan , kafanikiwa Sana , kudos hasheem
Pongezi za aina hii ndo zinawafanya watu wapuuzi washindwe kujirekebisha. Unampongeza kwa lipi wakati ktk nyanja yake ameshindfwa kufika kileleni?
Wengine tulimugundua siku nyingi sana kwamba hakuna kitu hapo! Vyombo vya habari vilipapatika kumpokea wakidhani ziko kichwani lakini nadhani aliwabowa, wakaachana naye. Mtu anahojiwa kwa kiswahili eti anatafuta maneno ya kiswahili, kayasahau! Ukulie kwa Aziz Ali usahau lugha yako! Ilikuwa ishara kwamba zimepangwa vibaya.
 
Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.

Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203

Haya ndio mambo ya kipumbavu ya kuomba msaada....

Kwavile huyu jamaa kafananikiwa then ni kosa lake inatakiwa alipe kodi/penalized kwa kulipia viwanja na vipaji vya wengine...

Ni kosa lake kufanikiwa?

Wewe na wote wenye mamlaka na wazazi wa hao vijana wanafanya nini?

Hii tabia ya Africa ku-criminalize mafanikio ya fulani kwa kumpa majukumu mazito zaidi ni umama wa kipumbavu sana.

Muacheni,hela yake akiamua kulewea au kutupa ni uamuzi wake,hajamuibia mtu,na hawajibiki kwa yeyote yule!

Typical African mind,ulalamishi,kutolea vijicho waliofanikiwa,kuwatwisha mizigo yako,kuwaandikia thread,etc..

This is not fair....Yeye kua mrefu sio adhabu ya nyie kumuandikia threads za kumsimanga na kumpa majukumu ya kisenge!
 
Umeongea Jambo la maana. Kuna wakati niliona mahojiano ya capital tv sports kolowa akimuhoji mchezo wa asili ya Kongo alishinda mataji nba nimemsahau Jina akawa anasema mafanikio ni kufanya mazoezi makali/ magumu bila kuacha na nidhamu ya hali ya juu kiasi kwamba kila unapopiga hatua ya mafanikio unajiona hujafanya kitu na una njaa ya kufanikiwa zaidi hata ukichukua ubingwa bado unakuwa na kiu ya kufanikiwa zaidi. Starehe inakuwa mbali, kula hovyohovyo mbali, Uvivu mbali.curry, Lebron, Jordan,kobe nk wanamihela lakini ni humble watu wa kujishusha , wana nidhamu kwa kocha na Ajira zao. Hashim Hana kipaji ni urefu ndiyo ulimsaidia ameshindwa kujiendeleza amepoteza nafasi. Hasara kwake na Tanzania maana angefanikiwa nba ingezidi kutafuta vijana wengine wa kitanzania
Dikembe mutonmbo au ?
 
Haya ndio mambo ya kipumbavu ya kuomba msaada....

Kwavile huyu jamaa kafananikiwa then ni kosa lake inatakiwa alipe kodi/penalized kwa kulipia viwanja na vipaji vya wengine...

Ni kosa lake kufanikiwa?

Wewe na wote wenye mamlaka na wazazi wa hao vijana wanafanya nini?

Hii tabia ya Africa ku-criminalize mafanikio ya fulani kwa kumpa majukumu mazito zaidi ni umama wa kipumbavu sana.

Muacheni,hela yake akiamua kulewea au kutupa ni uamuzi wake,hajamuibia mtu,na hawajibiki kwa yeyote yule!

Typical African mind,ulalamishi,kutolea vijicho waliofanikiwa,kuwatwisha mizigo yako,kuwaandikia thread,etc..

This is not fair....Yeye kua mrefu sio adhabu ya nyie kumuandikia threads za kumsimanga na kumpa majukumu ya kisenge!
ACHA MATUSI. UWE NA FIKRA PANA. YEYE NI MTANZANIA, TUNATAKA ANUFAIKE NA JASHO LAKE NA AWEKEZE HAPA NCHINI KWETU. MAANA, ATAISHI NJE YA NCHI NA HATAACHA ALAMA AMBAYO ITAEENDELEA KUKUMBUSKWA DAIMA
 
Jamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Kwani zile pesa alizopata hakufanya investment ?
 
Kuchezea shilingi chooni nakataa. Hasheem kacheza kiwango chake, kulazimisha awe Kobe haiwezekani. Kilicho mpeleka NBA ni urefu otherwise tungekuwa tunapanda nae daladala tu saa hizi. Kumbuka huyu jamaa hekucheza kikapu utotoni.
Yes hapo uko sahihi , amejitahidi Kwa level zake
 
Hapa ni mungine. Mutombo namjua. Mutombo mafanikio yake yalifungua njia kwa wakongo wenzake kupata nafasi kwenye nba
Hakeem olujuwan alifungua mlango kwa wanigeria wenzake
Yes mkuu kumbe mtu WA gemu , umenikumbusha olojuwan those good days, kina Scottie pippen, Charles Barkley, Dennis Rodman, Karl Marlone, Michael Jordan, etc
 
ACHA MATUSI. UWE NA FIKRA PANA. YEYE NI MTANZANIA, TUNATAKA ANUFAIKE NA JASHO LAKE NA AWEKEZE HAPA NCHINI KWETU. MAANA, ATAISHI NJE YA NCHI NA HATAACHA ALAMA AMBAYO ITAEENDELEA KUKUMBUSKWA DAIMA

Yeye ni mwanadamu sio Mtanzania.

Tanzania ni kipande cha ardhi!

Eti fikra pana,hayo malalamishi unayotoa ndio fikra pana?

Eti afaidike na jasho lake,wewe umegeuka Business Consultant wake wa kumuelekeza cha kufanya?

Sijui lini ka-hire your services?

As if yeye kufanikiwa imekua curse punguani yeyote tu ana mamlaka ya kumsema na kumpangia cha kufanya?

Funga bakuli lako,kama unaona yeye ameshindwa fanya wewe,sio unajifanya jaji wa kumpangia cha kufanya kwenye hii dunia as if wewe una mamlaka over him!

Ulalamishi umevuka mipaka huu!
 
ACHA MATUSI. UWE NA FIKRA PANA. YEYE NI MTANZANIA, TUNATAKA ANUFAIKE NA JASHO LAKE NA AWEKEZE HAPA NCHINI KWETU. MAANA, ATAISHI NJE YA NCHI NA HATAACHA ALAMA AMBAYO ITAEENDELEA KUKUMBUSKWA DAIMA
Huwezi jua mkuu labda amefanya investment kimya kimya
 
Yes mkuu kumbe mtu WA gemu , umenikumbusha olojuwan those good days, kina Scottie pippen, Charles Barkley, Dennis Rodman, Karl Marlone, Michael Jordan, etc
Hata mimi nimekumbuka mbali kaka.1994/1995 nimeanza kuangalia kwenye tv nba nikawaona kina Jordan, Barkley. Pipen, rodman ,hill,iverson,johnson nk
Kipindi hicho ITV, ctn walikuwa wanaonyesha mechi nikaanza kuvutiwa na basketball maana mwanzoni nilipenda football tu. nikaenda kuangalia mazoezi na Jamaa yangu uwanja wa pazi tanesco drive in kipindi hicho mzee Malai ndiyo mfadhili wa pazi , uwanjani pazi ikawa na vijana wengi wadogo akiwemo patrick nyembela, kuna mkongo walimsajili pandikizi la mtu sijui aliishia wapi. Mzee malai akawapeleka ziara ya USA
 
Back
Top Bottom