Umeongea Jambo la maana. Kuna wakati niliona mahojiano ya capital tv sports kolowa akimuhoji mchezo wa asili ya Kongo alishinda mataji nba nimemsahau Jina akawa anasema mafanikio ni kufanya mazoezi makali/ magumu bila kuacha na nidhamu ya hali ya juu kiasi kwamba kila unapopiga hatua ya mafanikio unajiona hujafanya kitu na una njaa ya kufanikiwa zaidi hata ukichukua ubingwa bado unakuwa na kiu ya kufanikiwa zaidi. Starehe inakuwa mbali, kula hovyohovyo mbali, Uvivu mbali.curry, Lebron, Jordan,kobe nk wanamihela lakini ni humble watu wa kujishusha , wana nidhamu kwa kocha na Ajira zao. Hashim Hana kipaji ni urefu ndiyo ulimsaidia ameshindwa kujiendeleza amepoteza nafasi. Hasara kwake na Tanzania maana angefanikiwa nba ingezidi kutafuta vijana wengine wa kitanzaniaNa hiyo peak yake aliifikisha on a rookie year, baada ya hapo akaisha kabisa kwa majivuno na kiburi..
Ili uendelee kubaki NBA unatakiwa u'developed month in month out.. The guy didn't tangia mwaka wake wa kwanza na wala hakufanikiwa kupata mkataba wowote wa maana zaidi ya rookie salary ingawa aliingia NBA akiwa 2 overall on draft. Wenzake alioingia nao NBA sasahivi ndio mastar wakubwa na wanalipwa mabillion ya shilling na mikataba minono ya kibiashara akina Steph Curry, Blake Griffin, Demar Derozan, James Harden and the likes
The guy is totally a failure na hana pesa yeyote kama mnavyodhani, hata Ali Kiba, Msuva, Bocco wanaweza kuwa na pesa kuliko yeye