Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.

Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Wabongo bana ndio maana yule malay.a wa Kiganda anawatusi kila siku anawaita Mabogus....
 
Duh angalia sasa ameacha legacy mbaya badala ya kukumbukwa kwa mazuri. Unajua dogo alitakiwa awe mfano wa kuigwa kwa mazuri. Sasa kama kuna madogo walimwona na mitama yake wataenda ku practice mitaani na mitaa itazidi fujo
Kukaribishwa ikulu na Rais na interviews za kila siku kwenye TV na Radio zilimvimbisha kichwa
 
Hivi unajua unachoongea au ni ushabiki. Hivi unajua mpaka uingie NBA unatakiwa uwe umepitia nini na nini? Au unafikiri alichukuliwa tu eti sababu ni mrefu? Huo urefu wake kule US sio big deal labda hapa kwetu walikojaa maandunje..


Mi najua ninachoongea, Hasheem alipata scholarship kwasababu ya height yake sio kwamba ni talented sana. Hapa Bongo kuna watu kama Patrick Nyembela ambao wanapiga kikapu kuliko Hasheem lakini ni wafupi kwahiyo maskauti hawawezi kuwapa opportunity. Halafu kwa taarifa yako tu, once Hasheem was the tallest NBA player. Kwanza aliokwambia Marekani watu wote warefu nani?
 
Unamzungumzia huyu aliyemaliza Jitegemee? Aliyekwenda US ukubwani na sasa akija anaigiza kusahau kiswahili? Hapo kichwani kuna tatizo! Miaka yote hiyo hujawahi kugundua kwamba mtu huyu hajitambui? Linganisha na Dikembe Mutombo wa DRC.
Amesoma Makongo nafikiri aliishia form3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa urefu hana mpinzaniii!!!namjua dogo ni toluuuuu!!balaaaa!!!
Enzi zile nikiwa six hapo dar basi kuna siku nikaibuka mitaa ya don bosco kupiga msuli jamaa akaja na vogue yake full wapambe ndo alikuwa katoka kudraftiwa huko NBA aisee njema ni refuu kama jini mwenyewe kavaa na hereni zake kapendeza huyo ana waka waka hahahahahsh anameremeta ana meremeta!!! Hashimu anameremeta!! Anameremeta na nikamind sana jamaa ni agemate wangu kabisa ila mi ndo nilikuwa ndani ya uniform mchizi ndani ya vogue

Fresh tu sio mbaya

Ng'ombe wa maskini hazai

Ng'ombe hata akonde vipi hawezi kuwa kuwa kama sungura hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom