Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Yeye ni mwanadamu sio Mtanzania.

Tanzania ni kipande cha ardhi!

Eti fikra pana,hayo malalamishi unayotoa ndio fikra pana?

Eti afaidike na jasho lake,wewe umegeuka Business Consultant wake wa kumuelekeza cha kufanya?

Sijui lini ka-hire your services?

As if yeye kufanikiwa imekua curse punguani yeyote tu ana mamlaka ya kumsema na kumpangia cha kufanya?

Funga bakuli lako,kama unaona yeye ameshindwa fanya wewe,sio unajifanya jaji wa kumpangia cha kufanya kwenye hii dunia as if wewe una mamlaka over him!

Ulalamishi umevuka mipaka huu!
Hasheem wasamehe
 
Back
Top Bottom