and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Panapoelekea kuna ambao wakichaguliwa watahisi wamepewa adhabu ya kifo badala ya cheo chenye heshima.
Waache tu kufanya huo uchaguzi.
Waache tu kufanya huo uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo unajisumbua lisome hapa lilivyoandikasasa kahaba unaniuliza nimekula wewe umeliwa kundu leo upate japo a few cents ?
MKRISTO NA MYAHUDI NI PUA NA MDOMO MAANA ASILI YA UKRISTO UMETOKEA HUKO ISRAELIHivi watanzania wengi wamechanganyikiwa hivi? Sikuwa najua mpaka badhi ya watu wanavyocomment. Kuna watu wanajiona ni Israel kabisa humu 😅😅😅😅 kuna wengine ni waarabu, uko unawatetea wanakuita kafiri. Stress mbaya sana.
Muwe mnajikita kwenye mada. Acheni kujibu kwa matusi, hakusaidii zaidi stress zako unabaki nazo mwenyewe.
Still nasimama na Gaza na yeyote anayewasaidia.
Hata mkinitukana sioni mko kwa 🚮😉 Jumapili njema.
Nimelisoma mkuu jinga mojaHuyo unajisumbua lisome hapa lilivyoandika
💐🌹🌷🤝Pamoja na yote, bado nawaheshimu hawa waarabu, wakisaidiwa na Iran mwenye vikwazo kibao. Lakini wanapigana kufa na kupona kuwasaidia Gaza.
Huyo Israel mnayemshabikia, anawezeshwa na mataifa makubwa, kwa vitu vingi sana.
Mkimsifia Israel sifia na mabwana zake wanaomtunza.
Wote wangekuwa sawa, Israel angeshikwa adabu, hiki kiburi ni cha mabwana zake.
Haya mambo ni very serious.
Hivi hakuna mwenye kuweza kufanya suluhu?
mateka waliobaki.Demand yao ni moja tu, KUJILINDA.
Israel hataki suruhu na kenge yeyote kwa sasa.Haya mambo ni very serious.
Hivi hakuna mwenye kuweza kufanya suluhu?
Wamesema makundi yote ya kogaidi yanayofadhiliwa na Iran yafutike. Yaana wasiwepo Hamas, Hezbolah wala Houthis. Na kusirushwe kombora lolote na hayo makundi kwenda Israel.Israel wataje demand zao wanazohitaji wapewe chapu dunia itulie kidogo sasa
Amewahishwa kwa wale 72 walioahidiwa na Mungu waoHata hajaapishwa, wamekula kichwa.....
Kweli kifo ni kifo.
Nimeshangaa na mimi, habari ambayo imekuwa edited dakika 4 zilizopita bado imekuwa na errorsKwenye Wikipedia inaonyesha ameuwawa 3 October 2024.