Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

Hivi watanzania wengi wamechanganyikiwa hivi? Sikuwa najua mpaka badhi ya watu wanavyocomment. Kuna watu wanajiona ni Israel kabisa humu 😅😅😅😅 kuna wengine ni waarabu, uko unawatetea wanakuita kafiri. Stress mbaya sana.

Muwe mnajikita kwenye mada. Acheni kujibu kwa matusi, hakusaidii zaidi stress zako unabaki nazo mwenyewe.
Still nasimama na Gaza na yeyote anayewasaidia.
Hata mkinitukana sioni mko kwa 🚮😉 Jumapili njema.
 
MKRISTO NA MYAHUDI NI PUA NA MDOMO MAANA ASILI YA UKRISTO UMETOKEA HUKO ISRAELI

HATA HAO WAYAHUDI UNAO WASEMA WANAWATUKANA KUWAITA KAFIRI WAKRISTO NI KWA SABABU HAWAJA FUNULIWA BADO WANAMNGOJA HUYO HUYO YESU KRISTO MAANA HAWAJA FUNULIWA WANAAMINI BADO YESU KRISTO HAJAJA KWA HIYO WANA MNGOJA WAKATI ALISHAKUJA.

KWA MAANA HIYO HATA HAO WAYAHUDI WANAO WAPINGA WA KRISTO NI WA KRISTO MAANA WANAMNGOJA KRISTO MPAKA LEO WAKIAMINI YULE ALIE SULUBIWA SIO KRISTO
 
YAANI UKIPEWA CHEO KUONGOZA MAGAIDI
KATAA AU ANDIKA WOSIA MAPEMA
 
💐🌹🌷🤝
 
Haya mambo ni very serious.
Hivi hakuna mwenye kuweza kufanya suluhu?

Wajuaji wakikutana unawaacha wasambaratishane. Kuna wengine wanaamini wana sala ambazo ukisali mtu anakauka kama kapigwa radi.
Wanazisali weee, na hakuna mtu anayekauka. Netanyahu mashavu yanazidi kuvimba kama puto. Naamini busara itumike. Israel haiwezi kuendelea kutwaa ardhi ikabaki salama. Na ndugu zangu, jihadi haina tija na imefeli.
Yanayoendelea Mashariki ya Kati, yanatia hudhuni, especially kwa kina mama, wazee na watoto wasio na hatia. Look at Lebanon, Israel is turning it into dust..kama ilivyokuwa Gaza na West Bank.
 
Israel wataje demand zao wanazohitaji wapewe chapu dunia itulie kidogo sasa
Wamesema makundi yote ya kogaidi yanayofadhiliwa na Iran yafutike. Yaana wasiwepo Hamas, Hezbolah wala Houthis. Na kusirushwe kombora lolote na hayo makundi kwenda Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…