Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
HatariAngalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji.
Majibu yake ni kuwa aliyewatuma ni aliyekuwa RPC wa Dodoma afande Theopista Mallya.
View: https://youtu.be/t5jEovHFkgI?si=EAdo0cKktmBNgY1c
My take: Manara tv mnawajibika kwa hili ikiwa taarifa hizi zitabainika kuwa si zakweli.
Ngoja tuone maana anasema yeye alikuwepo kabisa.Ila bhana mzee rungwe ni kivuruge kweli kweli hahaah.
Hii ni habari mpya sana
Hahahah mzee rungwe hajawahi kuwa seriousNgoja tuone maana anasema yeye alikuwepo kabisa.
Kwani dr slaa huwa yuko chombo kipi cha uchunguzi hadi kusema kwamba fulani wanamuua kesho?Unamuulizaje swali kama hilo mzee Rungwe? Yupo chombo gani cha uchunguzi?
Yaani asiwajibike aliyesema kiwajibike kituo cha Televisheni?Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji.
Majibu yake ni kuwa aliyewatuma ni aliyekuwa RPC wa Dodoma afande Theopista Mallya.
View: https://youtu.be/t5jEovHFkgI?si=EAdo0cKktmBNgY1c
My take: Manara tv mnawajibika kwa hili ikiwa taarifa hizi zitabainika kuwa si zakweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nawaza hapa Rungwe angekua my president mpaka muda huu watoto pale nyumbani vitumbo ndii kwa ubwabwa wife mpaka anaamua apike pilau apike biliani apike wali mweupe haya tuna kizimkazi sasa mama ake Dotto magari tutafanyaje🤣🤣
Umesomea mass communication? Unafahamu kazi ya mhariri?Yaani asiwajibike aliyesema kiwajibike kituo cha Televisheni?
Wewe unatumia nini kufikiria?
Sawa alituma ila hakufanya kitendo, nikikutuma kuiba ba ukaiba mimi sihusiki.Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji.