Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho uliohitimishwa leo, Jumatano Januari 22.2024.
Soma Pia:
Soma Pia:
- Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
- Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA