Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho uliohitimishwa leo, Jumatano Januari 22.2024