Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

Mzee apewe "msosi" njaa inamsumbua ameanza kuchanganya ma file
 
Magu nayeee! alijivika ufalme fulani hivi. Kununua wabunge, madiwani na wapinzani walio hai kilikuwa kitendo cha aibu ya karne. Tunamshukuru kwa mema yake.
 
Back
Top Bottom