Watoto akili zao hazina tatizo, tatizo liliopo la watz ni kukumbatia kiengereza.
Watoto wanafahamu lakini wanaanza kukariri pale tuu masomo yakianza kwa kimombo.
Hii ni data ya kufanyiwa utafiti mara kwa mara kuweza kukumbushia viongozi kama taifa linakosa wasomi kisa na mkasa lazima wanapiga kimobo!
Tujifunze kwa mataifa yalokuwa na lugha zao Europe, Asia (china,russia).