Uchaguzi 2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

Uchaguzi 2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

Spunda Ni nembo ya kutufundisha in life Never huge up...
 
Pia aliwahi kusema kwamba....
Hata uchaguzi mkuu wa 2915 ni yeye ndie alie shinda kiti cha Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Na akasisitisa kwamba "eti" ushahidi anao kwasababu alipigiwa simu nyingi za kumpa pole na zilizidi hata idadi ya kura za ushindi wa Rais...[emoji23][emoji23][emoji23]
uchaguzi wa mwaka Elfu mbili mia tisa kumi na tano 2915
 
Watoto akili zao hazina tatizo, tatizo liliopo la watz ni kukumbatia kiengereza.
Watoto wanafahamu lakini wanaanza kukariri pale tuu masomo yakianza kwa kimombo.
Hii ni data ya kufanyiwa utafiti mara kwa mara kuweza kukumbushia viongozi kama taifa linakosa wasomi kisa na mkasa lazima wanapiga kimobo!

Tujifunze kwa mataifa yalokuwa na lugha zao Europe, Asia (china,russia).
 
Lishe ndio tatizo kubwa sana la msingi kwa watanzania kwa sass....tutalalamikia sana watawala lakini mwisho wa siku nao wametokea kwenye msosi huhuuu tunaokula Ugali Maharage, Wali nyama, nk... hivi vyakula vinaleta shida ya udumavu kwenye ubongo na kuwa umesinzia muda mwingi...

Tuwe na mkakati maalum kama Taifa juu ya suala la lishe...
 
Ni bora mngempa bwan rungwe, tujue moja kuliko madhila haya.
 
Back
Top Bottom