Uchaguzi 2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

Uchaguzi 2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

Sisi wahaya bhana ubwabwa hapana sisi ni ndizi tu.
Kwanza hata hatujui kuupika vizuri hayo mambo ya watu wa Pwani
 
Mh. Rungwe anajibu maswali kibao ya wananchi :

Rungwe: Watanzania wana njaa, hawataki ndege wanataka chakula....... akumbuka alivyokuwa Ugiriki Athens Greece.. hatuna cha kuuza SGR reli ya nini....kilimo nimekaa Jerusalem Israel hawana ardhi nzuri lakini...waache watu wapulize tu kwani kuna madhara gani mbona nchi zingine wavuta...

 
Duuh , aisee hii ni zereu kwa wapiga kura wameanza kutuahidi mpaka mapilau.
 
Huyu mzee nimemnyanyulia mikono aisee. Ukisikia never give up this guy doesn’t. Atafaa sana kua motivational speaker
 
Mzee Rungwe wewe ni legendary katika siasa za upinzani Tanzania. Kinachosaidia akili mzee ni protein kwa wingi, ongeza dau ugawe mayai na maziwa kwa watoto mashuleni.


Omega 3- fatty acid.

Zaidi Kutoka katika samaki mgebuka nk.

Yeye mwenyewe kazaliwa akila migebuka nk, huko kwao kigoma Ujiji.
 
2020
LIVE: HASHIM RUNGWE NDANI YA MWANANCHI, AKIZUNGUMZA NA WAHARIRI
 
Wapinzani hamueleweki, hamna umoja, wengine wanaunga juhudi na Mgombea wa Chama tawala, wengine mnasubiri kupigiwa kura online (sielewi kampeni mtafanyia Zoom?). Baadhi mnaahidi ubwabwa mashuleni,akili zichaji.

Jipangeni 2030 mpaka Sasa 2020, 2025 mmeshapoteza pambano. Oneni zoezi la kura za maoni Chama tawala lilivyovuta hisia za Watanzania
 

Attachments

  • sumaphd_20200717_171803_0.jpg
    sumaphd_20200717_171803_0.jpg
    101.3 KB · Views: 1
Wapinzani hamueleweki, hamna umoja, wengine wanaunga juhudi na Mgombea wa Chama tawala, wengine mnasubiri kupigiwa kura online (sielewi kampeni mtafanyia Zoom?). Baadhi mnaahidi ubwabwa mashuleni,akili zichaji. Jipangeni 2030 mpaka Sasa 2020, 2025 mmeshapoteza pambano. Oneni zoezi la kura za maoni Chama tawala lilivyovuta hisia za Watanzania
Pia aliwahi kusema kwamba....
Hata uchaguzi mkuu wa 2915 ni yeye ndie alie shinda kiti cha Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Na akasisitisa kwamba "eti" ushahidi anao kwasababu alipigiwa simu nyingi za kumpa pole na zilizidi hata idadi ya kura za ushindi wa Rais...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA

Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko palepale. Nitahakikisha Mtanzania anakuwa na uwezo wa kula kuku mzima na wanafunzi wale ubwabwa mara kwa mara. Elimu bure bila lishe bora haina tija, hata viwanda bila lishe bora haviwezi kuzalisha kwa manufaa"

View attachment 1509973
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]
 
Back
Top Bottom