Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Mtu anayeita Hamas ,Houthis , Hezbollah ni magaidi huyo definitely ni mpumbavu asiyejua maana halisi ya gaidi !
Magaidi ni creations za United States ,hizo ISIS ,Alqaida ,Alnusra nk kulinda maslahi yake duniani na kutumika kama pretext ya kukandamiza wanaopingana naye .
Acheni upuuzi wa kuandika magaidi
Fools
Leo hii Taliban ni serikali kamili na wamepugana na US Kwa muda mrefu wakitaka kurudisha mamlaka yao na wakaitwa magaidi ,leo hii sijui bado ni magaidi ?
Na huyo huyo US Ndio kawachia madaraka ,sasa na Taliban waitwe magaidi sasa ,maana ni serikali kamili kwa sasa
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Tatizo wanauawa zana tafuteni namna ya kufungua dron la sivyo maisha na Iran ipo kmya
 
Mtu anayeita Hamas ,Houthis , Hezbollah ni magaidi huyo definitely ni mpumbavu asiyejua maana halisi ya gaidi !
Magaidi ni creations za United States ,hizo ISIS ,Alqaida ,Alnusra nk kulinda maslahi yake duniani na kutumika kama pretext ya kukandamiza wanaopingana naye .
Acheni upuuzi wa kuandika magaidi
Fools
Leo hii Taliban ni serikali kamili na wamepugana na US Kwa muda mrefu wakitaka kurudisha mamlaka yao na wakaitwa magaidi ,leo hii sijui bado ni magaidi ?
Na huyo huyo US Ndio kawachia madaraka ,sasa na Taliban waitwe magaidi sasa ,maana ni serikali kamili kwa sasa
Mkuu; Wewe ndo mtoa definition ya "Gaidi" ni nani au hapo 👆 👆 umetoa mtazamo na maoni yako binafsi kwamba Gaidi ni nani?
 
Wanauwa zana zipi sijakuelewa.
Huyo baba katuchanganyia mafaili kweli -kweli. Hata mm sikuelewa.
Hebu nijaribu kwa kubahatisha kuiedit:
Tatizo wanauawa zana(Sana); tafuteni namna ya kufungua dron (kutumia Drones) la sivyo maisha (mtaisha)na Iran ipo kmya (kimya).
 
Yaani kikundi chochote cha waarabu kinachopingana na udhalimu wa United States na washirika wake kinaitwa magaidi , how could the world be this stupid and dumb !
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Tumefarijika kwa kweli sisi kama wana jamaat Hezbollah tunaomba majibu ya haraka kwa mauaji ya Masheikh wetu
 
Mbona ana sura ya Uoga flan hivi na wasiwasi?
 
Yaani kikundi chochote cha waarabu kinachopingana na udhalimu wa United States na washirika wake kinaitwa magaidi , how could the world be this stupid and dumb !
Una Hoja lakini sio eti kikundi chochote cha waarabu kinachopingana....... ila ni kikundi chochote wa watu kinachopingana na Serikali Halali iliyo madarakani kwa kutumia silaha kinaitwa ni kikundi cha magaidi.
Kwa mantiki hiyo hata hapa Tz ukianzisha kikundi kinachopingana na Serikali na kinatumia silaha kitaitwa ni kikundi cha magaidi. Kwa hiyo hata huko United States vipo vikundi vya kigaidi.
 
Kiongozi amethibitishwa.
Screenshot_20240929-233503.png
 
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Media zote hazijatangaza ila wewe upo tandahimba una taarifa zote!
Halafu mbona kuna baadhi ya nyuzi leo mmepiga kimya?
 
Hapo suluhisho ni palestina awe na taifa lake na Israel abaki na taifa lake. Israel hataki anataka Palestina iwe ni kama kabila tu ndani ya Israeli. Yani utoke kwenye kuwa nchi ubaki kuwa mwananchi ndani ya Israel.
Si aligoma mwanzoni? Wakamtia kiburi waarabu ŵenzake akakosa yote!
 
Back
Top Bottom