Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kabla ya yesse arafat kiongozi wao alikua naniKwahiyo palestina hawana viongozi?
Mbona unakwepa swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya yesse arafat kiongozi wao alikua naniKwahiyo palestina hawana viongozi?
Mirathi imeishia wapi?Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Hasa wale special kutoka chake chake.Wakati anatangulizwa atakua anasindikizwa na mashoga zaidi ya miamoja ambao nao watakua wametangulia kwa baba.
Labda vyombo vyenu vya CNN,BBC,nk saivi kila familia muathirika inalipwa $12,000 Kwa mwaka huku ikisubiria kujengengewa nyumba za kisasa na Hezbollah. Kundi lenye hela kuliko makundi yote middle east halafu useme limefutika utamfuta mtu mwenye hela? Jeshi la Lebanon halina vifaa vya kisasa Kama walivyonavyo hezb, hawalipwi mshahara Kama wanaolipwa hezb. Hezb wana benki ya kuhifadhi dhahabu ndani na nje ya Lebanon Hezbollah inawanajeshi 100k+ wote wanaolipwa mzigo wa maana pamoja na familia zao guarantee ya maisha kiuchumi hakuna maskini Wana viti mbungeni ni miongoni mwa viongozi wa nchiSasa hivi hata kwenye taarifa za habari Hezbollah hawatajwi tena
Ahaa, ndio hicho nilichokiona kuwa kwenye harakati za kijeshi siwasikii tena. Kumbe wamehamia kwenye mambo ya ugawaji ya hela? Ni jambo jema, mambo ya kupigana wawaachie Israel, wao hawayaweziLabda vyombo vyenu vya CNN,BBC,nk saivi kila familia muathirika inalipwa $12,000 Kwa mwaka huku ikisubiria kujengengewa nyumba za kisasa na Hezbollah. Kundi lenye hela kuliko makundi yote middle east halafu useme limefutika utamfuta mtu mwenye hela? Jeshi la Lebanon halina vifaa vya kisasa Kama walivyonavyo hezb, hawalipwi mshahara Kama wanaolipwa hezb. Hezb wana benki ya kuhifadhi dhahabu ndani na nje ya Lebanon
Hujui Kama kuna ceasefire? Kati ya Israel na Hezbollah? Na lolote linaweza kutokea? Baada ya hizo siku 60? Kugawa hela ni muhimu Kwa wahanga walioumizwa katka eneo lao la kusiniAhaa, ndio hicho nilichokiona kuwa kwenye harakati za kijeshi siwasikii tena. Kumbe wamehamia kwenye mambo ya ugawaji ya hela? Ni jambo jema, mambo ya kupigana wawaachie Israel, wao hawayawezi
Ceasefire ni kichaka tu ndipo maana Israel inaendelea kufyeka tu, hakuna wa kujibu maana wameshapoteana. Mwenzio anayateka maghala yako ya silaha tena ndani ya ardhi yako, wewe umetulia tu kwa kusingizia ceasefire na ugawaji wa hela 🤣🤣🤣Hujui Kama kuna ceasefire? Kati ya Israel na Hezbollah? Na lolote linaweza kutokea? Baada ya hizo siku 60? Kugawa hela ni muhimu Kwa wahanga walioumizwa katka eneo lao la kusini
Ameshawahishwa kwa mabikiraMirathi imeishia wapi?
Tunajua mashetani hawana ahadi ya kweli Sasa tarehe 26 January kinawaka tena mpka mpate akili ya ceasefire ni maana yakeCeasefire ni kichaka tu ndipo maana Israel inaendelea kufyeka tu, hakuna wa kujibu maana wameshapoteana. Mwenzio anayateka maghala yako ya silaha tena ndani ya ardhi yako, wewe umetulia tu kwa kusingizia ceasefire na ugawaji wa hela 🤣🤣🤣
Hawa jamaa huwa hawaishiwi vioja.Tunajua mashetani hawana ahadi ya kweli Sasa tarehe 26 January kinawaka tena mpka mpate akili ya ceasefire ni maana yake
🇱🇧⚡🇮🇱 Deputy Head of Hezbullah's Political Council, Hajj Mahmoud Qamati in an interview with Al-Manar:
- We committed to patience for 60 days, and on the 61st day the situation will change, and the existing forces will become occupation forces, and we will deal with them accordingly.
- If we are patient, it's for the sake of our people and our commitment to the promise we made to allow space for mediators. We were patient with the violations for the sake of the people who returned to its villages in the south, and today they are demanding that we respond to these violations.
- There are red lines we will not allow to be crossed, including the resistance’s weapons and funds for reconstruction, restoration, and shelter.
- The resistance is present, ready, prepared, and strong.
🚩 @ResistanceTrench
Taliban kwa sasa siyo magaidi na wana ushirikiano na USAMtu anayeita Hamas ,Houthis , Hezbollah ni magaidi huyo definitely ni mpumbavu asiyejua maana halisi ya gaidi !
Magaidi ni creations za United States ,hizo ISIS ,Alqaida ,Alnusra nk kulinda maslahi yake duniani na kutumika kama pretext ya kukandamiza wanaopingana naye .
Acheni upuuzi wa kuandika magaidi
Fools
Leo hii Taliban ni serikali kamili na wamepugana na US Kwa muda mrefu wakitaka kurudisha mamlaka yao na wakaitwa magaidi ,leo hii sijui bado ni magaidi ?
Na huyo huyo US Ndio kawachia madaraka ,sasa na Taliban waitwe magaidi sasa ,maana ni serikali kamili kwa sasa