Tatizo wanauawa zana tafuteni namna ya kufungua dron la sivyo maisha na Iran ipo kmyaKatika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Mkuu; Wewe ndo mtoa definition ya "Gaidi" ni nani au hapo 👆 👆 umetoa mtazamo na maoni yako binafsi kwamba Gaidi ni nani?Mtu anayeita Hamas ,Houthis , Hezbollah ni magaidi huyo definitely ni mpumbavu asiyejua maana halisi ya gaidi !
Magaidi ni creations za United States ,hizo ISIS ,Alqaida ,Alnusra nk kulinda maslahi yake duniani na kutumika kama pretext ya kukandamiza wanaopingana naye .
Acheni upuuzi wa kuandika magaidi
Fools
Leo hii Taliban ni serikali kamili na wamepugana na US Kwa muda mrefu wakitaka kurudisha mamlaka yao na wakaitwa magaidi ,leo hii sijui bado ni magaidi ?
Na huyo huyo US Ndio kawachia madaraka ,sasa na Taliban waitwe magaidi sasa ,maana ni serikali kamili kwa sasa
Wanauwa zana zipi sijakuelewa.Tatizo wanauawa zana tafuteni namna ya kufungua dron la sivyo maisha na Iran ipo kmya
Huyo baba katuchanganyia mafaili kweli -kweli. Hata mm sikuelewa.Wanauwa zana zipi sijakuelewa.
Tayari washafanya yaoHuyu nae asipokaa vizuri anatangulizwa kwa mabikira 72 na mito ya pombe
Tumefarijika kwa kweli sisi kama wana jamaat Hezbollah tunaomba majibu ya haraka kwa mauaji ya Masheikh wetuKatika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
I see.Hapo suluhisho ni palestina awe na taifa lake na Israel abaki na taifa lake. Israel hataki anataka Palestina iwe ni kama kabila tu ndani ya Israeli. Yani utoke kwenye kuwa nchi ubaki kuwa mwananchi ndani ya Israel.
Una Hoja lakini sio eti kikundi chochote cha waarabu kinachopingana....... ila ni kikundi chochote wa watu kinachopingana na Serikali Halali iliyo madarakani kwa kutumia silaha kinaitwa ni kikundi cha magaidi.Yaani kikundi chochote cha waarabu kinachopingana na udhalimu wa United States na washirika wake kinaitwa magaidi , how could the world be this stupid and dumb !
Yakhee; hicho kiti ni cha moto sana.Mbona ana sura ya Uoga flan hivi na wasiwasi?
Ama kweli, au wanamlazimisha Baba wa watu?Yakhee; hicho kiti ni cha moto sana.
Hana namna nyingine. Inabidi tu akubaliane na matokeo.Ama kweli, au wanamlazimisha Baba wa watu?
Media zote hazijatangaza ila wewe upo tandahimba una taarifa zote!Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Si aligoma mwanzoni? Wakamtia kiburi waarabu ŵenzake akakosa yote!Hapo suluhisho ni palestina awe na taifa lake na Israel abaki na taifa lake. Israel hataki anataka Palestina iwe ni kama kabila tu ndani ya Israeli. Yani utoke kwenye kuwa nchi ubaki kuwa mwananchi ndani ya Israel.
Mbona tunaambiwa keshawahishwa kwa mabikra zake 72?Ama kweli, au wanamlazimisha Baba wa watu?
Swala sio kufurahi ndo ukweliBasi tuseme kwa kifupi hakuna kitu kinachoitwa wapalestina.umefurahi sasa?
Kwahiyo palestina hawana viongozi?Swala sio kufurahi ndo ukweli
ntajie mfalme wa palestina au rais ukimtoa yesse arafat ambaye nayeye pia ni mzaliwa wa misri