Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Mlijuaje 100% ni kazi ya USA? Mbona ni kama "hayo ni maneno ya mkosaji" Kama mlijua si mngejipanga kukabiliana i.e. counter offensive? Nawapa tu ushauri wa Bure: Nendeni mkayatibu majeraha yenu halafu ndipo mrudi na mjikite kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo. Hiyo ngoma (vita)achaneni nayo hamuwezi kuicheza broo; hiyo ni kitu ingine sio singeli hiyo.
Chanzo cha habari ni kutoka marekani labda umuulize yeye
 
Jihadi Huwa inaendelezwa mpaka mwisho wa vita Aidha ushinde au ushindwe labda wauee waislamu wote huku duniani . Kazi Bado ipo sana tuu msijipe moyo vibaraka wa wayahudi .
Na hiyo jihad yenu hamtokaa mfanikiwe mpaka kiama, sana sana mtakuwa watu wa kulia Hadi mwisho wa Dunia. Binadamu Gani nyie msioweza kuishi na wenzenu vzr?? Mmekaaa kishari Shari muda wote.
 
Tumeona na kapete kake kakufugia majini , ngoja trump aingie anawafuta kabisa, , hapa tu presidenti ni mzee mzima ovyo Bidden akiingia Trump hacheleweshi
Safi naona umekiri kuwa bila Marekani Israeli hawezi Fanya lolote .karibu kuwaelimisha na wenzio sasa. Trump hamtaweza kuwa Rais wa marekani.
 
Jihadi Huwa inaendelezwa mpaka mwisho wa vita Aidha ushinde au ushindwe labda wauee waislamu wote huku duniani . Kazi Bado ipo sana tuu msijipe moyo vibaraka wa wayahudi .
Unajikuta muislaaam,upo tu nyuma ya keyboard unaandika unavyotaka ukiambiwa leo kapiganie dini unaanza sababu ooh nina shughuli nyingi za kufanya wanangu hawajakua.

Jamaa unadhani vita mchezo eeh!
 
Na hiyo jihad yenu hamtokaa mfanikiwe mpaka kiama, sana sana mtakuwa watu wa kulia Hadi mwisho wa Dunia. Binadamu Gani nyie msioweza kuishi na wenzenu vzr?? Mmekaaa kishari Shari muda wote.
Wewe watu wakija kwenye nchi Yako wakakutawala utakubali? Palestina itapata Uhuru wake iwe jua iwe mvua.
 
Unajikuta muislaaam,upo tu nyuma ya keyboard unaandika unavyotaka ukiambiwa leo kapiganie dini unaanza sababu ooh nina shughuli nyingi za kufanya wanangu hawajakua.

Jamaa unadhani vita mchezo eeh!
Halafu sasa Mimi ni mkatoliki Tena OG ili sipendi upuuzi wa Israeli kwa wapalestina. Mbona Nyerere alikuwa mkatoliki kama Mimi na alipinga upuuzi wa Israeli kwanini hamkumuita muislamu? Msinibaguwe kutokana na msimamo wangu na sitabadili msimamo wangu.
 
Na hiyo jihad yenu hamtokaa mfanikiwe mpaka kiama, sana sana mtakuwa watu wa kulia Hadi mwisho wa Dunia. Binadamu Gani nyie msioweza kuishi na wenzenu vzr?? Mmekaaa kishari Shari muda wote.
Ila safari hii, naona Myahudi kawaletea dawa mpya anawanywesha kule. Tusubiri hiyo dawa iwaingie sawa sawa labda akili zitawakaa vizuri.
 
Itakua huwajui waislam,hapo ndo wamepata cha kufanya
 
Halafu sasa Mimi ni mkatoliki Tena OG ili sipendi upuuzi wa Israeli kwa wapalestina. Mbona Nyerere alikuwa mkatoliki kama Mimi na alipinga upuuzi wa Israeli kwanini hamkumuita muislamu? Msinibaguwe kutokana na msimamo wangu na sitabadili msimamo wangu.
Stick kwenye hoja ya uislam,unaingiza ukatoliki wa kazi gani?

Wewe umesema habari za wauwe waislam wote duniani nikakwambia wewe leo ikitokea umeambiwa ukaupiganie huo uislam utatoka?wengi mnakuwa excited ikija nafasi kufanya wanachofanya wenzenu muwafariji hamtaki
 
Hujaenielewa pamoja na mifano yote niliyokupa pole sana.
 
Back
Top Bottom