Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Alikuwa bonge la mjanja ingawa ni mjanja limbukeni, hata Wabongo malimbukeni wapo yaani pesa anaitafuta 'kimafia' halafu anafanya showoff za kijinga.Una uhakika kuna visivyojulikana au una-speculate tu? Naona unataka kulazimisha kwamba jamaa alikuwa bonge la mjanja wakati alikuwa anaji-expose mpaka kakamatwa kifala tu.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Naishi nao sana Wapopo, two decades plus nimekuwa nikijichanganya nao nawajua sana. Si kwamba wana akili sana lakini ni wapiganaji, wana network si za kitoto na wana mbinu za kupenya na ku- beat mifumo.
Syndicate ya akina Hushpappi ipo na inaendelea kupiga kila uchwao, wapo wengi 'underwater' ambao wanaendeleza pilika kama kawaida.