Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
CHADEMA na kale kakundi ka @MariaSTsehai wanapush hushtag #KataaEACOP kwa lengo la kudhoofisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga. Acheni kutumika kiboya.
EACOP stand for East African Crude Oil Pipeline. Ni kampuni lenye share holders wanne yani TotalEnergies, CNOOC, UNOC and TPDC..
Kabla ya kuwahitaji wafuasi wako waukatae mradi huu wa usafirishaji wa mafuta ghafi, wape ELIMU kwanza ili wajue ni kwanini wanahitajika kuukata.