Sisi kama nchi ni beneficiaries wa moja kwa moja wa mradi huu. Kila pipa la mafuta litakalopita, tutakuwa na tozo yetu tunakusanya. Ubaya wa EACOP ni nini? Ina tofaut gan na TAZAMA pipeline?
Kuna imperialists wanataka Africa ijitegemee kwa nishati? Unadhani walipenda Stiegler ilipoanza kujengwa?