kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Kuna huyu mtoto anaitwa Hashyat. Alikua anaimba nasheed lakini kwa sasa ameacha kwa sababu ya umri. Kiukweli huyu mtoto kabarikiwa sauti, ana maadili na anajua kujibu maswali vizuri akiwa mbele ya camera zaidi hata ya wasanii wetu wakubwa. Kuna mahojiano alifanya kwenye sherehe yake ya kumaliza kuimba nasheed, kwenye mahojiano hayo alijibu maswali vyema hadi nikabaki nashangaa kama kweli ni mtoto au mtu mzima. Angalia interview yake hapo chini.
Mie sikuwa mpenzi wa nasheed coz sio muislam lkn kwa kipaji cha huyu mtoto nimejikuta nafuatilia nyimbo zake za nasheed. Hiki ni kipaji kinachohitaji mikono salama ili kikue zaidi.
Mie sikuwa mpenzi wa nasheed coz sio muislam lkn kwa kipaji cha huyu mtoto nimejikuta nafuatilia nyimbo zake za nasheed. Hiki ni kipaji kinachohitaji mikono salama ili kikue zaidi.