Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

DA ndo mana mimi nasema hapa kuna zaidi ya ajali, upate ajali umfiche mkeo why jamani?

samahan nilikosea kucopy vizur samahan
Dena hapa nmecheka kwa majonzi!...lol. Ubarikiwe mpendwa yani umeongea ukweli sana!

Mjinga sana huyu jamaa watu wana BP za kupanda lkn wanaambiwa na kufiwa na mtoto mkononi wanazimia na kuzinduka sembuse ajali ujinga mtupu hata sijui upendo alipata wapi bila mkewe!
Hahahahahaha! Mbavu sina walah!

Kucopy ushauri au nini?!
Hata mimi nimekugongea yakhe coz umenifurahisha mno mpendwa.

Nimekugongea ka thanx

Hahahahahaha! Mbavu sina walah!

usitake kucomplicate nilizama sana kwenye ushaur wako na nikajisahau kusoma jina sorry 4 that

Ndio mara zote huwa nawaambia watu msianzishe thread jioni kuna...cheka mwaya murefu kasahau kucopy ushauri
Ushauri gani tena? Mwambie amweleze mkewe hilo tatizo na amtake radhi kwa kuficha ajali, ingekuwa vp kama angekatika mguu?oya achen porojo back to the topic mana ni mtu huyu jaman anaomba ushaur
Habaree wanathinker ninaomba mmusaidie rafiki yangu huyu mana nimeshndwa kumpa ushaur mana cjui nimwambie nini? Ninajamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa kusafiri safir ameoa na anamke na watoto wawili. Mara ya mwisho anasema amepata ajal mkoan arusha ngaramton kwny bodaboda akavunjika kiuno. Na kutokana na biashara yake inamruhusu kukaa nje muda mrefu akaenda kutibiwa akiwa amekaa kwa anko wake huko huko arusha mpaka akapona baada ya miez miwili. Ila hakumwambia mkewe jambo hili. Sasa kivumbi kinakuja amerud na mkewe anataka hak yake ya ndoa na jamaa anamzuga mpk sasa yapata wiki. Je wanathnker msaidien afanyeje mana anaogopa akimwambia mkewe anaweza kumuacha. Wanathnker msaidien analia wakat ananieleza haya
Sio utajaribu ndo umwambie afanye hivyo wewe si unataka ushauri?mh? Sawa nitajaribu kha?
<br /Ushauri gani tena? Mwambie amweleze mkewe hilo tatizo na amtake radhi kwa kuficha ajali, ingekuwa vp kama angekatika mguu?