Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Haya mavitabu yote ,iwe biblia, iwe kurani vyote ni vya shetaniKWANZA QURAN YENYEWE IMEANDIKWA NA SHETANI
2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
UNABII WA UFUNUO UNAITA SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Zamani tukiwa watoto tulidanganywa eti ukichoma Quran au biblia utaokota makopo!! Jinsi njaa ilivyoshamiri, watu ambao hata hawajawahi kuvichoma hivyo vitabu na wanaviheshimu, ndio waokota makopo (machupa ya maji) wakubwa!!Quran na Biblia zipo kwenye App unadownload unaendelea kujisomea huyo anaechoma anajisumbua
Naam, Allah mwenyewe, Muumba, ndio kashuhudia hilo kuwa Uislam ndio ukweli. Kupitia Maneno yake aliyoyateremsha (Qur-an).Kipi kinachothibitisha kuwa uislamu ni ukweli na ukristo ni uongo kama siyo maneno yenu wenyewe waislam, je mungu mwenyewe aliwahi kushuka akawaambia ya kuwa uislamu ndio dini ya kweli na ukristo ni dini ya uongo, ni misingi ipi au nguvu ipi inayothibitisha hilo
Ushahidi huko juu na hoja nyengine nyingi zinaonesha kuwa Qur-an ni Maneno ya Muumba wa kila kitu. Sasa Allah katika hiyo Qur-an anasema kuwa Dini kwake ni Uislam rejea Qur-an 3:19, ndio dini aliyoiridhia kwetu rejea Qur-an 5:3 na hatokubaliwa anayetaka dini isiyokuwa Uislam rejea Qur-an 3: 83. Hivyo, Ndio, Allah ameshasema Uislam ndio Dini ya kweli.Kipi kinachothibitisha kuwa uislamu ni ukweli na ukristo ni uongo kama siyo maneno yenu wenyewe waislam, je mungu mwenyewe aliwahi kushuka akawaambia ya kuwa uislamu ndio dini ya kweli na ukristo ni dini ya uongo, ni misingi ipi au nguvu ipi inayothibitisha hilo
Duuh umeandika maelezo mengi ila sijasoma yote sababu najua bado hujajibu na hutaweza kujibu swali langu, nimekuuliza ni misingi ipi (nje ya vitabu vyenu na maneno yenu) inayothibitisha kuwa dini ya kiislam ni ya kweli na ya kikristo ni ya uongo, usiniambie habari za quran sijui hadith maana hata wakristo nao kwa mujibu wa maneno yao na vitabu vyao kama biblia na vinginevyo dini yao ndio ya ukweliNaam, Allah mwenyewe, Muumba, ndio kashuhudia hilo kuwa Uislam ndio ukweli. Kupitia Maneno yake aliyoyateremsha (Qur-an).
Ushahidi kuwa ni Maneno yake?
Miongoni mwa ushahidi ni challenge tu aliyoitoa (katika hiyo Qur-an) ya kuleta/kutunga maneno sawa na Qur-an, challenge ambayo haijajibiwa kwa miaka zaidi ya 1400 sasa na kamwe haitojibiwa. Kama Qur-an ingelikuwa sio Maneno ya Allah, basi yangekuwa ni maneno yaliyotungwa tu na viumbe, na kama ingekuwa ni hivyo basi, wangeweza kutunga na mfano wake. Viumbe kushindwa kuleta maneno sawa na Qur-an, ni ushahidi wa kiakili tu kuwa Maneno hayo hayajatoka kwa kiumbe yoyote, bali kwa Muumba mwenyewe.
Aliyeteremshiwa, Mtume Muhammad, hakuwa akijua kusoma wala kuandika wala hakuwa na historia ya uanazuoni au usomi hapo kabla na watu wake walioishi nae miaka yote walimjua kuwa hakujishughulisha na mambo ya kusoma na kuandika kabisa. Alipoteremshiwa na kuanza kuzisoma aya za Qur-an, kwa watu, zilizo katika ufasaha wa hali ya juu mno uliowashangaza hata Maquraish wenyewe wabobezi wa lugha na fasihi, zenye habari za watu waliopita na za mambo yaliyokuja baadae pia, umekuwa ni ushahidi mwengine kuwa Maneno hayo sio yake (Qur-an 29:48). Watu walipoanza kusema kuwa amefundishwa au kutungiwa na mwengine ( imejibiwa katika Qur-an 16: 103), mara waseme ameitunga, mara waseme ni maneno ya mashetani, hoja zao zikakataliwa katika Qur-an kwa hoja zenye nguvu na ikatolewa challenge ya kuleta mfano wake Qur-an. Hakuna aliyeweza sio binadamu wala majini/mapepo. Challenge hiyo utaipata Qur-an 2:23, 10:38-39, 17:88 na 52:33-34 kwa uchache tu.
Ushahidi mwengine ni namna Qur-an ilivyohifadhiwa. Maneno hayo (Qur-an) yamehifadhiwa kama yalivyo tokea Mtume Muhammad alipoteremshiwa mpaka Leo kwa zaidi ya miaka 1400. Visomo vyote vya Qur-an vina chain ya wapokezi inayorudi mpaka kwa Mtume Muhammad tena vile vile. Hili huwezi kulikuta kwa vitabu vyote vya dini zengine ikiwemo Biblia ambayo sehemu kubwa hata waandishi wake hawajulikani. Na hata wale wanaotajwa ni waandishi hakuna uthibitisho kuwa ndio wenyewe kwa sababu ya kukosekana sanad (chain) inayotia nguvu. Tunaweza kuirudisha Qur-an mpaka kwa Mtume Muhammad. Ila hatuwezi kuirudisha Biblia mpaka kwa waandishi wake ambao sio tu hawajulikani, bali maelezo yao yanajichanganya.
Na Qur-an hiyo imehifadhiwa yote na mamilioni ya watu vifuani mwao kiasi kwamba lau kurasa za Qur-an zitapotea zote leo, itaweza kurudishwa yote katika maandishi bila kupotea hata herufi. Kinyume na vitabu vyengine. Na hii ni ahadi imo ndani ya Qur-an kwamba itahifadhiwa na yule aliyekiteremsha bila kupotea (15:9), ahadi hii na kutekelezeka kwake kunaonesha ukweli wa maneno hayo.
Qur-an yenyewe kujitolea ushahidi...
Kwa kutaja kwa uchache tu.
Ushahidi huko juu na hoja nyengine nyingi zinaonesha kuwa Qur-an ni Maneno ya Muumba wa kila kitu. Sasa Allah katika hiyo Qur-an anasema kuwa Dini kwake ni Uislam rejea Qur-an 3:19, ndio dini aliyoiridhia kwetu rejea Qur-an 5:3 na hatokubaliwa anayetaka dini isiyokuwa Uislam rejea Qur-an 3: 83. Hivyo, Ndio, Allah ameshasema Uislam ndio Dini ya kweli.
Mwisho, Uislam ndio Dini inayoendana na maumbile ya kibinadamu. Na mafundisho yake yanakubaliana na uhalisia wa maumbile. Kinyume na Ukristo.
Niishie hapo.
Kisai
Allah ni Mjuzi zaidi
Nakazia hapaila waarabu kwa kupenda kulia lia, the problem is, they worship a weaker god...
Hii dini ina athari kubwa sana ya psychology.Naam, Allah mwenyewe, Muumba, ndio kashuhudia hilo kuwa Uislam ndio ukweli. Kupitia Maneno yake aliyoyateremsha (Qur-an).

Challenge ya Koran ni ya kijinga , maana ndani ya Koran kuna maneno mengi siyo ya Allah , Allah kafanya kuwanukuu viumbe na kuweka kwenye Koran tena bila ya kutoa aknowledgementMiongoni mwa ushahidi ni challenge tu aliyoitoa (katika hiyo Qur-an) ya kuleta/kutunga maneno sawa na Qur-an, challenge ambayo haijajibiwa kwa miaka zaidi ya 1400 sasa na kamwe haitojibiwa. Kama Qur-an ingelikuwa sio Maneno ya Allah, basi yangekuwa ni maneno yaliyotungwa tu na viumbe,
Alikuwa kiziwi?Mtume Muhammad, hakuwa akijua kusoma wala kuandika
Kuna Waraqa ambae alikuwa mjomba ake Khadija (mke wa Muhammad) , Waraq alikuwa mkristo na alikuwa anatafsir maandiko ya biblia , Muhammad alivyotokewa na kiumbe kikamkaba akakimbia na kutetema kwa nderemo uku Muhammad akisema katokewa na shetani, akapelekwa kwa waraqa, waraqa ndie akamwambia kiumbe alichotekewa nacho ni Jibril (kumbuka apo waraqa anayobiblia na alikuwa anafanya tafsiri)Aliyeteremshiwa, Mtume Muhammad, hakuwa akijua kusoma wala kuandika wala hakuwa na historia ya uanazuoni au usomi hapo kabla
Huyo Mu-Iraq kafanya ujinga sana, angekuwa huko kwao Baghdad au Karbala au Mosul angefanya huo ujinga ?View attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
=====================
Hii inanikumbusha miaka flani msanii wa Ufaransa alichora katuni
Jamaa wakahisi kachorwa "Mo"
Waliwasha moto utafikiri wapo nchini kwao. π π π π π π mkiona mnanyanyaswa si mnarudi tu makwenu
jamaa flani muongo yuleNani alikuambia πππ
Baada ya tukio hilo Februari 07, 2020 Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo aliliagiza jeshi la polisi mkoani Morogoro kuhakikisha linamkamata kijana huyo na kumuhoji, na kwamba tayari wanamshikilia kijana huyo aliyeonekana kwenye video fupi akichana na kuitemea mate Quran Tukufu."Juzi nilikuwa namsikia Mhe Jafo, mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana kitabu kitakatifu, nashukuru umechukua hatua ya kumsimamisha kazi, lakini mimi namfukuza kazi moja kwa moja.. hatuwezi kukaa na watu wapumbavu, atajua mwenyewe atakapo yatafuta maisha".Rais Magufuli.
uislam umeletwa na Muhammad na unaeleza yaliyoelezwa miaka 600 kabla yake π π πNaam, Allah mwenyewe, Muumba, ndio kashuhudia hilo kuwa Uislam ndio ukweli. Kupitia Maneno yake aliyoyateremsha (Qur-an).
Ushahidi kuwa ni Maneno yake?
Miongoni mwa ushahidi ni challenge tu aliyoitoa (katika hiyo Qur-an) ya kuleta/kutunga maneno sawa na Qur-an, challenge ambayo haijajibiwa kwa miaka zaidi ya 1400 sasa na kamwe haitojibiwa. Kama Qur-an ingelikuwa sio Maneno ya Allah, basi yangekuwa ni maneno yaliyotungwa tu na viumbe, na kama ingekuwa ni hivyo basi, wangeweza kutunga na mfano wake. Viumbe kushindwa kuleta maneno sawa na Qur-an, ni ushahidi wa kiakili tu kuwa Maneno hayo hayajatoka kwa kiumbe yoyote, bali kwa Muumba mwenyewe.
Aliyeteremshiwa, Mtume Muhammad, hakuwa akijua kusoma wala kuandika wala hakuwa na historia ya uanazuoni au usomi hapo kabla na watu wake walioishi nae miaka yote walimjua kuwa hakujishughulisha na mambo ya kusoma na kuandika kabisa. Alipoteremshiwa na kuanza kuzisoma aya za Qur-an, kwa watu, zilizo katika ufasaha wa hali ya juu mno uliowashangaza hata Maquraish wenyewe wabobezi wa lugha na fasihi, zenye habari za watu waliopita na za mambo yaliyokuja baadae pia, umekuwa ni ushahidi mwengine kuwa Maneno hayo sio yake (Qur-an 29:48). Watu walipoanza kusema kuwa amefundishwa au kutungiwa na mwengine ( imejibiwa katika Qur-an 16: 103), mara waseme ameitunga, mara waseme ni maneno ya mashetani, hoja zao zikakataliwa katika Qur-an kwa hoja zenye nguvu na ikatolewa challenge ya kuleta mfano wake Qur-an. Hakuna aliyeweza sio binadamu wala majini/mapepo. Challenge hiyo utaipata Qur-an 2:23, 10:38-39, 17:88 na 52:33-34 kwa uchache tu.
Ushahidi mwengine ni namna Qur-an ilivyohifadhiwa. Maneno hayo (Qur-an) yamehifadhiwa kama yalivyo tokea Mtume Muhammad alipoteremshiwa mpaka Leo kwa zaidi ya miaka 1400. Visomo vyote vya Qur-an vina chain ya wapokezi inayorudi mpaka kwa Mtume Muhammad tena vile vile. Hili huwezi kulikuta kwa vitabu vyote vya dini zengine ikiwemo Biblia ambayo sehemu kubwa hata waandishi wake hawajulikani. Na hata wale wanaotajwa ni waandishi hakuna uthibitisho kuwa ndio wenyewe kwa sababu ya kukosekana sanad (chain) inayotia nguvu. Tunaweza kuirudisha Qur-an mpaka kwa Mtume Muhammad. Ila hatuwezi kuirudisha Biblia mpaka kwa waandishi wake ambao sio tu hawajulikani, bali maelezo yao yanajichanganya.
Na Qur-an hiyo imehifadhiwa yote na mamilioni ya watu vifuani mwao kiasi kwamba lau kurasa za Qur-an zitapotea zote leo, itaweza kurudishwa yote katika maandishi bila kupotea hata herufi. Kinyume na vitabu vyengine. Na hii ni ahadi imo ndani ya Qur-an kwamba itahifadhiwa na yule aliyekiteremsha bila kupotea (15:9), ahadi hii na kutekelezeka kwake kunaonesha ukweli wa maneno hayo.
Qur-an yenyewe kujitolea ushahidi...
Kwa kutaja kwa uchache tu.
Ushahidi huko juu na hoja nyengine nyingi zinaonesha kuwa Qur-an ni Maneno ya Muumba wa kila kitu. Sasa Allah katika hiyo Qur-an anasema kuwa Dini kwake ni Uislam rejea Qur-an 3:19, ndio dini aliyoiridhia kwetu rejea Qur-an 5:3 na hatokubaliwa anayetaka dini isiyokuwa Uislam rejea Qur-an 3: 83. Hivyo, Ndio, Allah ameshasema Uislam ndio Dini ya kweli.
Mwisho, Uislam ndio Dini inayoendana na maumbile ya kibinadamu. Na mafundisho yake yanakubaliana na uhalisia wa maumbile. Kinyume na Ukristo.
Niishie hapo.
Kisai
Allah ni Mjuzi zaidi
Hivi nyie watu, mlimqambia nani kuhusu hyo challenge?Miongoni mwa ushahidi ni challenge tu aliyoitoa (katika hiyo Qur-an) ya kuleta/kutunga maneno sawa na Qur-an, challenge ambayo haijajibiwa kwa miaka zaidi ya 1400 sasa na kamwe haitojibiwa. Kama Qur-an ingelikuwa sio Maneno ya Allah, basi yangekuwa ni maneno yaliyotungwa tu na viumbe, na kama ingekuwa ni hivyo basi, wangeweza kutunga na mfano wake. Viumbe kushindwa kuleta maneno sawa na Qur-an, ni ushahidi wa kiakili tu kuwa Maneno hayo hayajatoka kwa kiumbe yoyote, bali kwa Muumba mwenyewe.
Sio kwetu sisi tu, Uislam ndio kweli hata kama watu wengi wa magharibi hawaufuati, na utaenea tu kote watu warudi katika asili yao. Pili, ukristo katika nchi za magharibi ni dhaifu tofauti na miaka iliyopita na unaendelea kudhoofika. Hakuna hata nchi moja ya magharibi utakayoiita ya kikristo kiukweli hivi sasa. Hivyo sio dominant. Tatu wakristo, hata wakipigania kueneza dini yao, hawatofaulu, sababu ukristo sio ukweli na sisi hatulazimishi watu watufuate tunachotaka sisi, hasha! Bali Uislam ndio ukweli, nasi tunalingania kweli hii na ukweli ndio wenye kushinda mwisho wa siku;
Qur-an 17:81
View attachment 2675661
81. Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!
Hawa jamaa kila mtu maarufu wa taifa la Israel wanamwita nabii.
Hata Adam anaitwa nabii...just imagine.
Ndio tatizo la mohamad kuokoteza maandiko ya watu... yaani ni full uzushi tu.
Huo ndio ukweli... Alah ana nabii/mtume mmoja tu, anaitwa Mohamad.Wanalazimisha manabii wa wayahudi wawe manabii wa ala ili kujustify hoja yao eti uislam ulianza zamani,wapuuzi ndio huamini huo upuuzi,uislm ulianza na mudi baada ya kutandiko kipigo mapangoni ili apokee wahayi wa shetani.
Naam, Allah mwenyewe, Muumba, ndio kashuhudia hilo kuwa Uislam ndio ukweli. Kupitia Maneno yake aliyoyateremsha (Qur-an).