Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Soma Bible vizuri ,Nabii Daudi (Peace be upon him ) kapigana vita nyingi sana na hata ndani ya bible kuna vita nyingi sana za kidini zimezungumzwa.
Daudi hakuwahi kuwa NABII 😆😆😆
 
Daudi hakuwahi kuwa NABII 😆😆😆
IMG_20230702_100423.jpg
 
Halafu Sauli akachukua madem na mifugo🤣🤣

unajua kilichomtokea Sauli?? Soma sura nzima
Acha kuokoteza vijimistari kujifariji.

Unajua ugomvi wa Waamaleki na Israel /Yuda?
Kasome halafu njoo yujadili
Hizo ni chai .
 
N

Itafutie sehem Daudi alitoa unabii.
Kila mtu abaki anavyoamini mimi nitaamini kama Nabii wa Allah wewe baki unavyoamini ,content yangu ni kwamba mapigano katika bible yapo mengi na vita vya kumpigania Mungu huo ndio ulikuwa msingi wa mjadala sasa mmeikuza hoja ya Unabii na kuiacha hiyo.
 
Basi elewa DAUDI hajawahi kuwa NABII
 
Kuna watu akili hamna kabisa nasi kama hivyo mahekalu Yerusalem yasingebomolewa na wahuni tu na huyo mnayemuita Yesu asipigwa misumari ya nguvu na Makanisa yasingeharibiwa na kuibiwa ,watu wema wasingekufa.

Sijui unaongelea nini lakini huwezi thibitisha allah yupo au yesu yupo ni stori za vijiweni
Thibitisha hao uliowataja hapo juu wapo?
 
Sijui unaongelea nini lakini huwezi thibitisha allah yupo au yesu yupo ni stori za vijiweni
Thibitisha hao uliowataja hapo juu wapo?
Huo muda wa kujadili hayo mimi sina , majadiliano ya kuthibisha Allah yupo huwezi kunikuta napoteza muda wangu kujadilina na mtu haswa akiwa amekuja kwa gia ya ubishi na sio kujifunza na kuelewa.
 
Kila mtu abaki anavyoamini mimi nitaamini kama Nabii wa Allah wewe baki unavyoamini ,content yangu ni kwamba mapigano katika bible yapo mengi na vita vya kumpigania Mungu huo ndio ulikuwa msingi wa mjadala sasa mmeikuza hoja ya Unabii na kuiacha hiyo.
Daudi yupi alikuwa nabii wa Alah?

Nyie watu nyie...[emoji1787]

Nyie ndio mnasemaga Yesu alikuwa nabii wa Alah...Yaani kuna vitu hata kuvisema wewe mwenyewe unaona haviji kabisa.

Alah na manabii wa Israel wapi na wapi???
 
Huo muda wa kujadili hayo mimi sina , majadiliano ya kuthibisha Allah yupo huwezi kunikuta napoteza muda wangu kujadilina na mtu haswa akiwa amekuja kwa gia ya ubishi na sio kujifunza na kuelewa.

sasa ulini quote ukisema mambo ya yesu nilikuambia kuhusu yesu mimi?
Yesu au Allah hayupo na huwezi thibitisha.
Hata mimi sibishani baki na stori zako.ila usniletee stori za allah au yesu sababu havipo ni stori
 
Kwa sababu Uislam ndio dini ya asili. Dini iliyofundishwa na kufuatwa na Mitume yote. Na hakuna dini mbele ya Allah, Muumba wa kila kitu, isipokuwa Uislam. Na anayechagua Dini isiyokuwa ya Uislam haitakubaliwa kwake na akhera atakuwa ni mwenye hasara.

Ukristo sio dini ya asili kutoka kwa Allah, ni dini iliyoundwa tu na watu muda mrefu baada ya Yesu kuondoka, kisha wakamnasibishia nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futuhi zako tafuta kwa kupelekaaa, sio hapa JF lol
 
Sio kwetu sisi tu, Uislam ndio kweli hata kama watu wengi wa magharibi hawaufuati, na utaenea tu kote watu warudi katika asili yao. Pili, ukristo katika nchi za magharibi ni dhaifu tofauti na miaka iliyopita na unaendelea kudhoofika. Hakuna hata nchi moja ya magharibi utakayoiita ya kikristo kiukweli hivi sasa. Hivyo sio dominant. Tatu wakristo, hata wakipigania kueneza dini yao, hawatofaulu, sababu ukristo sio ukweli na sisi hatulazimishi watu watufuate tunachotaka sisi, hasha! Bali Uislam ndio ukweli, nasi tunalingania kweli hii na ukweli ndio wenye kushinda mwisho wa siku;

Qur-an 17:81
View attachment 2675661
81. Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaa kweliiii.
 
Daudi yupi alikuwa nabii wa Alah?

Nyie watu nyie...[emoji1787]

Nyie ndio mnasemaga Yesu alikuwa nabii wa Alah...Yaani kuna vitu hata kuvisema wewe mwenyewe unaona haviji kabisa.

Alah na manabii wa Israel wapi na wapi???
WaIsrseli sio wanadamamu na viumbe wale mpaka uwezekano wa kuwepo Nabii wake ukosekane ? sio yeye tu mbona wengi kutokea Israeli ni Mnabii wake mfanao Musa ,Harun ,Suleyman nk

Kuona ajabu ni wewe tu wengine tunaona kawaida tu na sio katika majambo yasiyowezekana.
 
Kwa hiyo waislamu wa taifa fulani wakichoma moto waKristo au Kuwachinja wa Kristo, tuwafukuze mabalozi wao sio?? Morocco has acted unwisely......Walio anzisha Uislamu wa saudi arabia wenyewe hawajafukuza Balozi, Hawa morroco walioletewa dini ya Saudi Arabia inakuwaje wanafukuza Balozi wa Sweeden??
Childhood mate, in African countries the religion is an opium that has massively improved people to have insanities...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
WaIsrseli sio wanadamamu na viumbe wale mpaka uwezekano wa kuwepo Nabii wake ukosekane ? sio yeye tu mbona wengi kutokea Israeli ni Mnabii wake mfanao Musa ,Harun ,Suleyman nk

Kuona ajabu ni wewe tu wengine tunaona kawaida tu na sio katika majambo yasiyowezekana.
Musa, Harun na Suleiman ni manabii wa nani? Alah?

Nikikuambia unithibitishie UWEPO wa Mungu Alah kabla ya Mohamad katika taifa la Israel HUTAWEZA kuthibitisha... na hakuna hata mmoja wenu anayeweza.

Musa, Harun na Suleiman Mungu wao anajulikana. Anaitwa YAHWEH..Mungu wa Israel...na ndiye Mungu wa Waisrael mpaka leo.

Alah nabii/mtume wake anajulikana...anaitwa Mohamad wa Meca.

Acheni janja janja.
 
Back
Top Bottom